Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Nimeanza kazi mwezi wa huu tr 1
 
Hilo ajibu mwenyewe mkuu
 
Hongera...ngoja pis Kali zianze kukutafuta....tunakuja dm si mda
 
Nimeyafurahia maendeleo yako bure yakaongezeke mara dufu, nyuso za wazazi wako zikawe angavu katika kuishi kwako wengi tunalitamani lifike wakiwepo ila wengi wetu hukawia na kukuta mmoja ameondoka ama wote kwa pamoja machozi ya furaha yamenitoka.
 
Fresh graduate wa MWAKA JANA!! hajasema alsomea kozi gani!! Leo imesoma kwa new hires wote!! Maana yake ni mwajiriwa mpya serikalini / taasisi za umma maana jana na leo ndo wanaingiziwa mpunga wao!! Hakuna mwajiriwa mpya hata mmoja anayeweza kupata net pay ya M8 maana yake basic salary ni zaidi ya M10!! Hadithi ikikosa uhalisia huwa haifikii malengo yake!!

Ila ninavyodhani: Huyu ni mwajiriwa mpya!! alivyopata hako kahela kiduchu baada ya msoto mrefu, hizo pesa anaziona ni nyingi sana kama M8 vile!! hakuzitegemea!! Nakumbuka kuna mtu alivyoanza ajira tu alinunua baiskeli!! Hiyo baiskeli alikuwa anaiita PAJERO!! Wakati huo magari ya Pajero yalikuwa yanavuma sana!!
 
Mkuu kama sio chai basi ungeweka wazi basic yako ni kiasi gani, labda hapo umelipwa reallocation, overtimes na allowances nyingine.

Mimi sijakubishia ila bado sijakuunga mkono bado. Mpaka uweke mambo clear.
CCIP, Exploratories, na mshahara

CCIP na exploratory yangu ni mwaka mzima
 
Oooh na mimi nina baiskeli pia [emoji4]
 
Ameupiga mwingi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…