Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Alafu huku wanawakeketa wake zaoNgoja nikueleze nimeishi umasaini,
Wamasai wanatahiriwa na kubakishwa kitu kinaitwa kifagio... mzee wangu demu akipitishia mashine yenye kifagio na masai usitegemee atakuwa wako no more.
Sanasana demu atakuwa anakuchuna anampelekea masai wakale shangwe. Kanyooo tukuruu!