Kwa mara ya kwanza nimepanda daladala yenye AC Dar es Salaam

Kwa mara ya kwanza nimepanda daladala yenye AC Dar es Salaam

Kwa upande wangu nimepanda mara tatu kama sikosei
 
Labda daladala bubu zisizosajiliwa, mtu anatoka zake kariakoo anaona Gari isiende tupu Hadi mbezi anaamua kupakia.mara nyingi hizi Gari unakutana nazo jioni au usiku Ni nadra mchana.lakini sio hizi za daily route mjini hapa mjini thubutu..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shy Wana daladala zao special,full ac wkt shirt ya dereva daladala ikipepea hapo nyuma yako.
Huwa nashangaa kuona naporudi shinyanga baada ya miaka kadhaa nakuta mabaskeli bado yanapiga daladala. Ukienda Mbeya,Njombe mapikipiki ya mchina utafikiri ndio kwenye viwanda.
 
Hello guys!

Nimewahi kuwauliza makondakta na madereva wa daladala kwanini gari zao hazina Air conditioner ilhali ukicheki zina namba mpya za usajili wakanijibu kuwa wameng"oa ili kuokoa mafuta.

Leo nimepanda daladala nimeshtuka kuona ina AC.

Kweli nchi ngumu hii.
We si ndo wakati fulani last year ulikuwa ukilalamika mwanao fulani wa shule ya msingi st Kayumba huko mbezi kuchangishwa mchango wa speed test sh 1000 kwa mwezi au?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hapana sio Mimi.
Mimi nilikuwa mchangiaji tu.
Naishi Chanika na mtoto wangu ndio kwanza anaanza kindergarten next week ila sidhani kama atasoma hizi shule za UVIKO

Back
Top Bottom