Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Dodoma ipi unayoizungumzia weweKaribu dodoma, daladala zote ni full kiyoyozi
Karibu dodoma, daladala zote ni full kiyoyozi
Za Mbagala zipo mkuu?Zipo nyingi tuu inategemea a na mtaa unaonishi
Mentality za kipimbi... Nimetoka Moro na BM full kipupwe mpaka Dar tena watu zaidi ya 50...Daladala iwashe AC? Hivyo vikwapa mtaomba izimwe madirisha yafunguliwe.
Huwa nashangaa kuona naporudi shinyanga baada ya miaka kadhaa nakuta mabaskeli bado yanapiga daladala. Ukienda Mbeya,Njombe mapikipiki ya mchina utafikiri ndio kwenye viwanda.Shy Wana daladala zao special,full ac wkt shirt ya dereva daladala ikipepea hapo nyuma yako.
Daladala iwashe AC? Hivyo vikwapa mtaomba izimwe madirisha yafunguliwe.
Sawa mkuu wa mapimbi.Mentality za kipimbi... Nimetoka Moro na BM full kipupwe mpaka Dar tena watu zaidi ya 50...
We si ndo wakati fulani last year ulikuwa ukilalamika mwanao fulani wa shule ya msingi st Kayumba huko mbezi kuchangishwa mchango wa speed test sh 1000 kwa mwezi au?Hello guys!
Nimewahi kuwauliza makondakta na madereva wa daladala kwanini gari zao hazina Air conditioner ilhali ukicheki zina namba mpya za usajili wakanijibu kuwa wameng"oa ili kuokoa mafuta.
Leo nimepanda daladala nimeshtuka kuona ina AC.
Kweli nchi ngumu hii.
We si ndo wakati fulani last year ulikuwa ukilalamika mwanao fulani wa shule ya msingi st Kayumba huko mbezi kuchangishwa mchango wa speed test sh 1000 kwa mwezi au?
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app