Kwa mara ya kwanza nimesikia Tanzania wametoa msaada wa Chakula kwenda Malawi baada ya kukumbwa na Kimbunga

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.

Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.

Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
 
Unaweza kuwa maskini. Umaskini ikawa ni sehemu ya maisha yako. Lakini ikatokea bahati mbaya, maskini mwenzio jirani yako akaunguliwa na nyumba, hutamsaidia kwa sababu wewe ni maskini?
Kila mtu apambane na umaskini wake.. kupeleka chakula Malawi ni strategy ya kisiasa sio kiubinadamu...

Huku kwetu unga kilo sh. 2500/= vp huko kwenu?
 
Nunua mchele achana na ugali binafsi hizi bei za unga zipo Juu Sana kwakweli
 
Seen a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.

Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
So wakati tunapeleka msumbiji baada ya kile kimbunga hukusikia
 
Sikupata taarifa Mkuu na radio yangu Ni Tbc Fm
 
Unaweza kuwa maskini. Umaskini ikawa ni sehemu ya maisha yako. Lakini ikatokea bahati mbaya, maskini mwenzio jirani yako akaunguliwa na nyumba, hutamsaidia kwa sababu wewe ni maskini?
Wema usizidi uwezo. Huwezi toa chakula nje wakati watoto wako ndani wanalia njaa. Sifa za kijinga.
 
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.

Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.

Ahsante Mama kwa Jambo hili.[emoji120]
Wakati wa jiwe mbona tulitoa pia
 
Unaweza kuwa maskini. Umaskini ikawa ni sehemu ya maisha yako. Lakini ikatokea bahati mbaya, maskini mwenzio jirani yako akaunguliwa na nyumba, hutamsaidia kwa sababu wewe ni maskini?
Hahaha nchi hatubarikiwa sababu ya uchoyo
 
Na tuisaidie ukrine kwa kuwapa vifaa tiba na vifavu kuwaokua na kisago Cha bwana Putin
 
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.

Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.

Ahsante Mama kwa Jambo hili.[emoji120]
Walishawahi toa aisee tena sio miaka mingi
 
Mbona Mara nyingi tu huwa tunatoa,au ulikua bado haujanunua redio,na kua simu
 
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.

Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.

Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
 
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.

Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.

Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
Tulishawahi kupeleka chakula Zimbabwe tena kwa treni na Msumbiji wakati wa mafuriko ya vimbunga
 
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.

Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.

Ahsante Mama kwa Jambo hili.[emoji120]
Wahaya kazi yenu ni uzinzi, propaganda na siasa huiwezi,sana majungu tu
 
Msumbiji magufuli alipeleka madawa na chakula, lakini pia alipeleka madawa na chakula zimbabwe au haukumbuki
 
Back
Top Bottom