DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Unaweza kuwa maskini. Umaskini ikawa ni sehemu ya maisha yako. Lakini ikatokea bahati mbaya, maskini mwenzio jirani yako akaunguliwa na nyumba, hutamsaidia kwa sababu wewe ni maskini?Wakati ndani wanakala njaa mchele unwnunuliwa nje afu unapigwa na kupelekwa nje. Inchi hii taabu tupu.
Kila mtu apambane na umaskini wake.. kupeleka chakula Malawi ni strategy ya kisiasa sio kiubinadamu...Unaweza kuwa maskini. Umaskini ikawa ni sehemu ya maisha yako. Lakini ikatokea bahati mbaya, maskini mwenzio jirani yako akaunguliwa na nyumba, hutamsaidia kwa sababu wewe ni maskini?
Nunua mchele achana na ugali binafsi hizi bei za unga zipo Juu Sana kwakweliKila mtu apambane na umaskini wake.. kupeleka chakula Malawi ni strategy ya kisiasa sio kiubinadamu...
Huku kwetu unga kilo sh. 2500/= vp huko kwenu?
So wakati tunapeleka msumbiji baada ya kile kimbunga hukusikiaNipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.π
Sikupata taarifa Mkuu na radio yangu Ni Tbc FmSeen a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
So wakati tunapeleka msumbiji baada ya kile kimbunga hukusikia
Wema usizidi uwezo. Huwezi toa chakula nje wakati watoto wako ndani wanalia njaa. Sifa za kijinga.Unaweza kuwa maskini. Umaskini ikawa ni sehemu ya maisha yako. Lakini ikatokea bahati mbaya, maskini mwenzio jirani yako akaunguliwa na nyumba, hutamsaidia kwa sababu wewe ni maskini?
Acha uchoyoWakati ndani wanakala njaa mchele unwnunuliwa nje afu unapigwa na kupelekwa nje. Inchi hii taabu tupu.
Wakati wa jiwe mbona tulitoa piaIt has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.[emoji120]
Hahaha nchi hatubarikiwa sababu ya uchoyoUnaweza kuwa maskini. Umaskini ikawa ni sehemu ya maisha yako. Lakini ikatokea bahati mbaya, maskini mwenzio jirani yako akaunguliwa na nyumba, hutamsaidia kwa sababu wewe ni maskini?
Walishawahi toa aisee tena sio miaka mingiIt has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.[emoji120]
It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.π
Tulishawahi kupeleka chakula Zimbabwe tena kwa treni na Msumbiji wakati wa mafuriko ya vimbungaIt has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.π
Wahaya kazi yenu ni uzinzi, propaganda na siasa huiwezi,sana majungu tuIt has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga.
Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi.
Ahsante Mama kwa Jambo hili.[emoji120]