Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Salaam,
Kwakweli katika kufatilia vipindi vya bunge sijawahi kuona mbunge akichangia hoja halafu mwishoni aseme siungi mkono hoja!
Mara zote huwa wanatoa malalamiko weee ya kukosoa hoja hiyo lakini mwisho wa siku wanaunga mkono hoja, leo kwa mara ya kwanza nimeona mbunge kagoma kuunga mkono hoja.
Ugumu huwa uko wapi kwa waabunge katika kutounga mkono hoja kama umeona kabisa kuna mambo kibao hukubaliani nalo?