Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Hoja ipi? ya kutolipwa mafao yao nao waone uchungu? (sijasikiliza clips zako)Salaam,
Kwakweli katika kufatilia vipindi vya bunge sijawahi kuona mbunge akichangia hoja halafu mwishoni aseme siungi mkono hoja!
Mara zote huwa wanatoa malalamiko weee ya kukosoa hoja hiyo lakini mwisho wa siku wanaunga mkono hoja, leo kwa mara ya kwanza nimeona mbunge kagoma kuunga mkono hoja.
Ugumu huwa uko wapi kwa waabunge katika kutounga mkono hoja kama umeona kabisa kuna mambo kibao hukubaliani nalo?
Njaa na kukosa uzalendoNJAA TU HAKUNA KINGINE
Sasahivi wanawaza 2025 pekeeKiini macho tu hicho, wanajua muda si muda watarudi kwa wananchi. Hivyo lazima wajikoshe.
Hata kama ni maigizo, walau ni mwanzo kwa wengine kufanya kweli ikitokea kuna hoja mbovuKiini macho tu hicho, wanajua muda si muda watarudi kwa wananchi. Hivyo lazima wajikoshe.
Huo Ndiyo UkweliNJAA TU HAKUNA KINGINE
200% correctHamna lolote. Anaye waamini hao wabunge yeye ndio mwenye shida.
Naunga mkono hoja.Hamna lolote. Anaye waamini hao wabunge yeye ndio mwenye shida.