Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Naamini ICC itawaita Mahakamani kiungwana TU huko the Hague.
Hivyo naamini watatii amri ya ICC bila shuruti.
Sisi raia wa kawaida hayo ndio maisha yetu ya Kila siku,pale tunapokamatwa na Mapolisi wetu.
Uki over speed TU,unaombwa leseni,ukibisha unaambiwa tii amri bila shuruti.
Kama namuona vile na ushungi.