Kwa mara ya kwanza nitashuhudia watawala wetu na wakuu wa Usalama wakitakiwa kutii amri ya ICC bila shuruti

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Naamini ICC itawaita Mahakamani kiungwana TU huko the Hague.

Hivyo naamini watatii amri ya ICC bila shuruti.

Sisi raia wa kawaida hayo ndio maisha yetu ya Kila siku,pale tunapokamatwa na Mapolisi wetu.

Uki over speed TU,unaombwa leseni,ukibisha unaambiwa tii amri bila shuruti.

Kama namuona vile na ushungi.
 
😂😂.

Inasikitisha sana mpaka sasa hakuna polisi hata mmoja aliechomewa nyumba na waliopoteza ndugu.

Au hamna uchungu na ndugu zenu waliopigwa risasi? Au mnalipiza kwa maneno
 
Ule ushungi kuna watu wanauchukia walitaka aweke marasta na mawigi lakini imeshindikana…

﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu​


Tutaelewana tu mwaka huu….
 
Kama mlishaonywa kwa Aya
Jitambueni na muwe na mikakati kama hao mayahudi na wakristo
Wenzenu wana vikosi kazi nyie mnasema tumemwachia Allah.
Siri zenu za vuja hao waumini wanaojifanya wamesilimu ndo wanawachoma.
AMKENI
 
Sijui kwann mashitaka dhidi ya samuya na genge lake yanachelewa, utaratibu huwa ukoje wakuu...hapa naliona pengo la Lissu uraiani, angekuwepo shughuli ingeshaanza bila kuchelewa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…