GE2025 Kwa mara ya kwanza tarehe 29 Oktoba nitashiriki maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ngoja wachambuzi nguli na sisi tuwape Cha kuchambua.
 
Wanaodhani hii kauli ya kimazoea wacha tuheshimu hisia zao ,kilio cha jamii yetu kimegusa mifupa ya wenye kufikiri na kuamua ,wacha tuone tutakaposhindwia .
 
Nafikiria sijui nikazuie uchaguzi kijijini kwetu na kuwa na andamana kijijini au nikaungane na wenzangu mjini.

Mtendaji wa kata nitamchibiti vizuri
Walimu ambao ni wasimamizi nawajua na nawamdu wote
Kublock njia usiku na kuchoma matairi naweza
 
Moyo wangu umekufa ganzi ,nitaivaa spirit ile ile ninayovaliaga vazi la kulitetea Taifa langu tuwapo eneo jingine ndiyo roho ileile nitaitumia kuonyesha kutokukubaliana na aina hii ya ubadhirifu kwenye Taifa langu ,wacha nikawe mbegu itakayoamsha kuheshimiana .

Najua nisipokutwa na mauti naweza kufika gerezani na nikisalimika history itaandikwa kwa haki (I don't even care for whatever it is ) nilazima nikaitimize adhima yangu
 
Wanaowaambia muandamane mtakuwa nao front line? Au wao watakuwa waliko wakisubiri kusikia mmechapwa vya mabomu!!

Au mnaandamana maandamano salama? Yameruhusiwa?

Binafsi mimi sitotoka ndani.
Hivi kumbe maandamo mpaka yaruhusiwe?! 🤣🤣 Au hii sheria ipo tz tuu
 
Hatua tuliyoifikia haifai kufumbiwa macho ,kusubiri muujiza ni kutokuipenda kesho yetu ,liwalo na liwe
 
Hivi kumbe maandamo mpaka yaruhusiwe?! 🤣🤣 Au hii sheria ipo tz tuu
Tarehe 29 siyo siku yakusubiri ruhusa ya kutoka kwa adui .

Tarehe 29 ni siku ya kupinga uovu kwavitendo .

Iwe wao au sisi lakini nilazima mmoja wetu aibuke na ushindi ,ni mwendo wa kudondoaha tu .

Mareporter watawahabarisha namna itakavyokuwa ,Mungu tu atutangulie .

Tuliyowaamini nao wameamua kuungana na watesi wetu , dam ya dogo haiwezi kumwagika kinges3 vile naapia.
 
Siku ikifika watu kuandamana mbona hakutakua na haya matangazo utajikuta tu upo barabarani. Siwapendi CCM na watu wake wote na matendo yao mabaya lakini hadi hapa naona maandamano haya yashafeli maana adui ameshauziwa siri na ramani ya kujipanga.
 
Siku ikifika watu kuandamana mbona hakutakua na haya matangazo utajikuta tu upo barabarani. Siwapendi CCM na watu wake wote na matendo yao mabaya lakini hadi hapa naona maandamano haya yashafeli maana adui ameshauziwa siri na ramani ya kujipanga.
Nafurahi kwa wayatazamayo kwa sura uionayo , wakati utaongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…