Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,871
- 7,347
Haupo peke yako.Moto wangu umekufa ganzi ,nitaivaa spirit ile ile ninayovaliaga vazi la kulitetea Taifa langu tuwapo eneo jingine ndiyo roho ileile nitaitumia kuonyesha kutokukubaliana na aina hii ya ubadhirifu kwenye Taifa langu ,wacha nikawe mbegu itakayoamsha kuheshimiana .
Najua nisipokutwa na mauti naweza kufika gerezani na nikisalimika history itaandikwa kwa haki (I don't even care for whatever it is ) nilazima nikaitimize adhima yangu
Kila la kheriMimi ni mwana CCM kiasili kwa maana ya kuwakuta wazazi wangu wakihudumu kama wanachama na viongozi wa Taifa langu kwa upande wa chama cha mapinduzi
Binafsi nitajiona ninazo sababu nyingi ambazo kwa unyenyekevu wa ndani kabisa wa moyo wangu najiona nisiposhiriki kwenye maandamano ya October 29 moyo wangu utakuwa nikama unavuja damu kwa kosa la usaliti kwa Taifa langu...sipo tayari kulisaliti Taifa langu .
Nipo tayari kwa malipo yatakayonigharimu hata uhai wangu maana hata nisiposhiriki naweza kukutwa na lolote kikiwemo kifo ,Bora nife kwa kumpambania Rais wangu kuondolewa kwenye kiti cha Urais kinachomfanya aje kukosa pepo.
Nimegoma kuzisema sababu zinazonipelekea kuandamana kwangu maana sababu ni zangu ,ikiwa na wewe uko na zako usisite kuungana pamoja kwenye ukombozi wa Taifa letu.
Mama anaweza kuwa hajaua na haui.
Mama anaweza kuwa hatesi wala kuwatuma watu kututesa
Mama anaweza kuwa habani uhuru wa vyombo vya habari
Mama anaweza kuwa haibi na hatumi watu kuiba.
Mama inawezekana hata ile siku aliyoiita katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano ni kakijitabu tu hakusema kwakumaanisha maana ndiyo iliyosababisha leo yeye awe Rais wetu.
Yawezekana Rais wetu hata akawa ameombwa tu kama siyo kushinikizwa aendelee kuiomba nafasi ya Urais lakini pengine wapo watu wanaotaka aendelee kuwapo kitini kwa maslahi yao.
Lakini kwakuwa yote yanayotokea na Mama hachukui hatua ,kwa nia njema kabisa nashawishika kuingia barabarani ili kumnusuru Mama aondoke kitini ili Taifa letu lipone .
Mama anapaswa kupewa support ya kumuondoa kwenye mikono ya wenye dhambi ,kutokuingia barabarani kutamsababishia Mama na Rais wetu mpendwa kuendelea kuonekana msaliti mbele ya sura za watanzania wanyonge .
Tumechoka kulia misiba ya watu ambao hatujui kama wapo hai au wameshakufa kwa kuuwawa .
Tumechoka kuona kikundi cha watu wachache wakineemeka katikati ya kundi la watanzania masikini wasiyojua hata pakuingilia ,tumechoka kuona kila anaesimama kututetea anaokotwa nakuwekwa korokoloni kwa amrinzao , tumechoka kupigwa virungu na askari wanaoendeaha maisha kwa Kodi zetu .
Tumechoka kuitwa majina tusiyoyastahili kila pale tunapoamua kusimama na kukemea uovu unaolitafuna Taifa letu ,tumechoka kuonekana wasaliti wa Taifa letu maana kila anaekosoa anaonekana ni Chadema na adui mkuu ambao kupotezwa ndiyo adhabu tunazostahili .
Kwa mara ya kwanza nimedhamiria kuingia Barabarani kumsaidia Mama na Rais wangu aondoke madarakani.
Nyie chadema mkiingia barabarani tutawapa kipigo cha mbwa mwizi hadi mchakae. Shenzi taipu. Mkikaidi mtapigwa tu. Hakuna namnaMimi ni mwana CCM kiasili kwa maana ya kuwakuta wazazi wangu wakihudumu kama wanachama na viongozi wa Taifa langu kwa upande wa chama cha mapinduzi
Binafsi nitajiona ninazo sababu nyingi ambazo kwa unyenyekevu wa ndani kabisa wa moyo wangu najiona nisiposhiriki kwenye maandamano ya October 29 moyo wangu utakuwa nikama unavuja damu kwa kosa la usaliti kwa Taifa langu...sipo tayari kulisaliti Taifa langu .
Nipo tayari kwa malipo yatakayonigharimu hata uhai wangu maana hata nisiposhiriki naweza kukutwa na lolote kikiwemo kifo ,Bora nife kwa kumpambania Rais wangu kuondolewa kwenye kiti cha Urais kinachomfanya aje kukosa pepo.
Nimegoma kuzisema sababu zinazonipelekea kuandamana kwangu maana sababu ni zangu ,ikiwa na wewe uko na zako usisite kuungana pamoja kwenye ukombozi wa Taifa letu.
Mama anaweza kuwa hajaua na haui.
Mama anaweza kuwa hatesi wala kuwatuma watu kututesa
Mama anaweza kuwa habani uhuru wa vyombo vya habari
Mama anaweza kuwa haibi na hatumi watu kuiba.
Mama inawezekana hata ile siku aliyoiita katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano ni kakijitabu tu hakusema kwakumaanisha maana ndiyo iliyosababisha leo yeye awe Rais wetu.
Yawezekana Rais wetu hata akawa ameombwa tu kama siyo kushinikizwa aendelee kuiomba nafasi ya Urais lakini pengine wapo watu wanaotaka aendelee kuwapo kitini kwa maslahi yao.
Lakini kwakuwa yote yanayotokea na Mama hachukui hatua ,kwa nia njema kabisa nashawishika kuingia barabarani ili kumnusuru Mama aondoke kitini ili Taifa letu lipone .
Mama anapaswa kupewa support ya kumuondoa kwenye mikono ya wenye dhambi ,kutokuingia barabarani kutamsababishia Mama na Rais wetu mpendwa kuendelea kuonekana msaliti mbele ya sura za watanzania wanyonge .
Tumechoka kulia misiba ya watu ambao hatujui kama wapo hai au wameshakufa kwa kuuwawa .
Tumechoka kuona kikundi cha watu wachache wakineemeka katikati ya kundi la watanzania masikini wasiyojua hata pakuingilia ,tumechoka kuona kila anaesimama kututetea anaokotwa nakuwekwa korokoloni kwa amrinzao , tumechoka kupigwa virungu na askari wanaoendeaha maisha kwa Kodi zetu .
Tumechoka kuitwa majina tusiyoyastahili kila pale tunapoamua kusimama na kukemea uovu unaolitafuna Taifa letu ,tumechoka kuonekana wasaliti wa Taifa letu maana kila anaekosoa anaonekana ni Chadema na adui mkuu ambao kupotezwa ndiyo adhabu tunazostahili .
Kwa mara ya kwanza nimedhamiria kuingia Barabarani kumsaidia Mama na Rais wangu aondoke madarakani.
Kwa hiyo kwa akili yako mbovu unadhani raia wote wataandamana?Ratio ya polisi kwa raia ikoje wanangu.
Polisi mmoja anahudumia raia wangapi?
Ukipata jibu, utapata JAWABU
Pamoja na yote hayo wazazi wangu na baadhi ya ndg nimewatunzia vitambulisho vya mpiga kura visipotee vipo kama 6 Hadi siku inafika nitakuwa navyo 15 ndo kama mnavyojuaMimi ni mwana CCM kiasili kwa maana ya kuwakuta wazazi wangu wakihudumu kama wanachama na viongozi wa Taifa langu kwa upande wa chama cha mapinduzi
Binafsi nitajiona ninazo sababu nyingi ambazo kwa unyenyekevu wa ndani kabisa wa moyo wangu najiona nisiposhiriki kwenye maandamano ya October 29 moyo wangu utakuwa nikama unavuja damu kwa kosa la usaliti kwa Taifa langu...sipo tayari kulisaliti Taifa langu .
Nipo tayari kwa malipo yatakayonigharimu hata uhai wangu maana hata nisiposhiriki naweza kukutwa na lolote kikiwemo kifo ,Bora nife kwa kumpambania Rais wangu kuondolewa kwenye kiti cha Urais kinachomfanya aje kukosa pepo.
Nimegoma kuzisema sababu zinazonipelekea kuandamana kwangu maana sababu ni zangu ,ikiwa na wewe uko na zako usisite kuungana pamoja kwenye ukombozi wa Taifa letu.
Mama anaweza kuwa hajaua na haui.
Mama anaweza kuwa hatesi wala kuwatuma watu kututesa
Mama anaweza kuwa habani uhuru wa vyombo vya habari
Mama anaweza kuwa haibi na hatumi watu kuiba.
Mama inawezekana hata ile siku aliyoiita katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano ni kakijitabu tu hakusema kwakumaanisha maana ndiyo iliyosababisha leo yeye awe Rais wetu.
Yawezekana Rais wetu hata akawa ameombwa tu kama siyo kushinikizwa aendelee kuiomba nafasi ya Urais lakini pengine wapo watu wanaotaka aendelee kuwapo kitini kwa maslahi yao.
Lakini kwakuwa yote yanayotokea na Mama hachukui hatua ,kwa nia njema kabisa nashawishika kuingia barabarani ili kumnusuru Mama aondoke kitini ili Taifa letu lipone .
Mama anapaswa kupewa support ya kumuondoa kwenye mikono ya wenye dhambi ,kutokuingia barabarani kutamsababishia Mama na Rais wetu mpendwa kuendelea kuonekana msaliti mbele ya sura za watanzania wanyonge .
Tumechoka kulia misiba ya watu ambao hatujui kama wapo hai au wameshakufa kwa kuuwawa .
Tumechoka kuona kikundi cha watu wachache wakineemeka katikati ya kundi la watanzania masikini wasiyojua hata pakuingilia ,tumechoka kuona kila anaesimama kututetea anaokotwa nakuwekwa korokoloni kwa amrinzao , tumechoka kupigwa virungu na askari wanaoendeaha maisha kwa Kodi zetu .
Tumechoka kuitwa majina tusiyoyastahili kila pale tunapoamua kusimama na kukemea uovu unaolitafuna Taifa letu ,tumechoka kuonekana wasaliti wa Taifa letu maana kila anaekosoa anaonekana ni Chadema na adui mkuu ambao kupotezwa ndiyo adhabu tunazostahili .
Kwa mara ya kwanza nimedhamiria kuingia Barabarani kumsaidia Mama na Rais wangu aondoke madarakani.
Point yangu ni kama hawana ruhusa si watabondwa na police Tz?Hivi kumbe maandamo mpaka yaruhusiwe?! 🤣🤣 Au hii sheria ipo tz tuu
Kwamba sehemu nyingine watu wanapoandamana hua hawana polisi? Ishu ni watu wakiamua watoke kweli kwa umoja hakuna wakuwazuia polisi ni wachache sana ukilinganisha na raia wakiamua kutokaPoint yangu ni kama hawana ruhusa si watabondwa na police Tz?
Unaogopa kubondwa na polisi basi utabondwa na maisha ukiwa umejifungia ndaniPoint yangu ni kama hawana ruhusa si watabondwa na police Tz?
Mama amina, tuliza kijambio hiko.Kwa hiyo kwa akili yako mbovu unadhani raia wote wataandamana
Mimi ni mwana CCM kiasili kwa maana ya kuwakuta wazazi wangu wakihudumu kama wanachama na viongozi wa Taifa langu kwa upande wa chama cha mapinduzi
Binafsi nitajiona ninazo sababu nyingi ambazo kwa unyenyekevu wa ndani kabisa wa moyo wangu najiona nisiposhiriki kwenye maandamano ya October 29 moyo wangu utakuwa nikama unavuja damu kwa kosa la usaliti kwa Taifa langu...sipo tayari kulisaliti Taifa langu .
Nipo tayari kwa malipo yatakayonigharimu hata uhai wangu maana hata nisiposhiriki naweza kukutwa na lolote kikiwemo kifo ,Bora nife kwa kumpambania Rais wangu kuondolewa kwenye kiti cha Urais kinachomfanya aje kukosa pepo.
Nimegoma kuzisema sababu zinazonipelekea kuandamana kwangu maana sababu ni zangu ,ikiwa na wewe uko na zako usisite kuungana pamoja kwenye ukombozi wa Taifa letu.
Mama anaweza kuwa hajaua na haui.
Mama anaweza kuwa hatesi wala kuwatuma watu kututesa
Mama anaweza kuwa habani uhuru wa vyombo vya habari
Mama anaweza kuwa haibi na hatumi watu kuiba.
Mama inawezekana hata ile siku aliyoiita katiba yetu ya Jamuhuri ya Muungano ni kakijitabu tu hakusema kwakumaanisha maana ndiyo iliyosababisha leo yeye awe Rais wetu.
Yawezekana Rais wetu hata akawa ameombwa tu kama siyo kushinikizwa aendelee kuiomba nafasi ya Urais lakini pengine wapo watu wanaotaka aendelee kuwapo kitini kwa maslahi yao.
Lakini kwakuwa yote yanayotokea na Mama hachukui hatua ,kwa nia njema kabisa nashawishika kuingia barabarani ili kumnusuru Mama aondoke kitini ili Taifa letu lipone .
Mama anapaswa kupewa support ya kumuondoa kwenye mikono ya wenye dhambi ,kutokuingia barabarani kutamsababishia Mama na Rais wetu mpendwa kuendelea kuonekana msaliti mbele ya sura za watanzania wanyonge .
Tumechoka kulia misiba ya watu ambao hatujui kama wapo hai au wameshakufa kwa kuuwawa .
Tumechoka kuona kikundi cha watu wachache wakineemeka katikati ya kundi la watanzania masikini wasiyojua hata pakuingilia ,tumechoka kuona kila anaesimama kututetea anaokotwa nakuwekwa korokoloni kwa amrinzao , tumechoka kupigwa virungu na askari wanaoendeaha maisha kwa Kodi zetu .
Tumechoka kuitwa majina tusiyoyastahili kila pale tunapoamua kusimama na kukemea uovu unaolitafuna Taifa letu ,tumechoka kuonekana wasaliti wa Taifa letu maana kila anaekosoa anaonekana ni Chadema na adui mkuu ambao kupotezwa ndiyo adhabu tunazostahili .
Kwa mara ya kwanza nimedhamiria kuingia Barabarani kumsaidia Mama na Rais wangu aondoke madarakani.
Tanzania Kuna wanasiasa basi? Wote wapigaji tuBadilisha fikra ,siyo kila aliyekinyume na mfumo ni mwanasiasa
Kumbe kazi yako kugawa kijambio siyo??Mama amina, tuliza kijambio hiko.