Kwa mara Ya kwanza unanunua Gari, je ulishakanyagwisha kitu gani hadi ukajuta kwanini ulinunua iyo Gari?

Dulla Tawakal

Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
86
Reaction score
101
Habari zenu wa JF ,,ebu leo Tuambizane ni kipengele gani ulikutana nacho wakati unaanza safari yako ya kununua usafiri wa miguu minne ikakupelekea hadi ukajuta? ,, mimi nakumbuka wakat naingia kwa mara ya kwanza ulimwengu wa magari ,nilinunua Toyota sienta ,,kwa mzee mmoja wa kichaga,,aisee nilijuta kwann nilinunua gari ,maana sikumbuka kama nishawahi kupata furaha wakati nipo na gari lile ,,kwanza ilikuw na ugonjwa wa kupoteza nguvu ukipanda mlima ,,alaf punde likawa linaleta taa ya check ingine...basi sikukaa nalo sana nikamrudishia mwenyew gari lake nikamwambia natak pesa zangu ,, ilikuwa kuna mvutano kwenye kurudisha pesa ila kilichonisaidia nina mkoba wa uganga wa bi.mkubwa ,,basi nilimpa mwezi mmoja yule mzee atafute pesa aniletee ,,nilichokifanya nikaenda mzimuni kushtakia ,,ebwana yule mzee aliandamwa na mabalaa ,anajua yeye na mungu wake ,,mwisho wa siku akanipigia akanambia kijana nakulipa pesa zako ..basi nikampa account numbee yangu akaingiza mpunga wangu wote ,,, Hapo akili ikanikaa sawa ,,ikabidi nivute pumzi ,,nikaanza kutafuta gari taratibu hadi nikapata Gari nzuri aina ya toyota Alphard Ambayo mpaka sasa nipo nayo na nashkuru Haijawahi kunisumbua ..
 
Acha kutangaza shirki zako kijana umekuja hapa kwa lengo la kujitangaza uganga wako hakika m nakuusia acha hayo mambo

( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )

الزمر (65) Az-Zumar

Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.
 
Nini maana ya ushirikina ??

Au shirk ...ukashanijibu hapo ndo tutawekana sawa ,,eidha mimi nikufate wewe au wewe unifate mimi
 
Back
Top Bottom