Dulla Tawakal
Member
- Sep 10, 2022
- 86
- 101
Habari zenu wa JF ,,ebu leo Tuambizane ni kipengele gani ulikutana nacho wakati unaanza safari yako ya kununua usafiri wa miguu minne ikakupelekea hadi ukajuta? ,, mimi nakumbuka wakat naingia kwa mara ya kwanza ulimwengu wa magari ,nilinunua Toyota sienta ,,kwa mzee mmoja wa kichaga,,aisee nilijuta kwann nilinunua gari ,maana sikumbuka kama nishawahi kupata furaha wakati nipo na gari lile ,,kwanza ilikuw na ugonjwa wa kupoteza nguvu ukipanda mlima ,,alaf punde likawa linaleta taa ya check ingine...basi sikukaa nalo sana nikamrudishia mwenyew gari lake nikamwambia natak pesa zangu ,, ilikuwa kuna mvutano kwenye kurudisha pesa ila kilichonisaidia nina mkoba wa uganga wa bi.mkubwa ,,basi nilimpa mwezi mmoja yule mzee atafute pesa aniletee ,,nilichokifanya nikaenda mzimuni kushtakia ,,ebwana yule mzee aliandamwa na mabalaa ,anajua yeye na mungu wake ,,mwisho wa siku akanipigia akanambia kijana nakulipa pesa zako ..basi nikampa account numbee yangu akaingiza mpunga wangu wote ,,, Hapo akili ikanikaa sawa ,,ikabidi nivute pumzi ,,nikaanza kutafuta gari taratibu hadi nikapata Gari nzuri aina ya toyota Alphard Ambayo mpaka sasa nipo nayo na nashkuru Haijawahi kunisumbua ..