Kwa mara ya Kwanza, usiku wa Jana, Watanzania wamezigomea Risasi baridi na Mabomu ya Machozi ,hawakukimbia Wala kutawanyika

Kwa mara ya Kwanza, usiku wa Jana, Watanzania wamezigomea Risasi baridi na Mabomu ya Machozi ,hawakukimbia Wala kutawanyika

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wakuu kama mmetizama Zile video za Wananchi wakipambana na Uhuni wa mwendokasi na genge lao la wahuni.

Polisi Licha ya kufuatia Mabomu na Risasi baridi.

Wananchi Wakigoma kutawanyika, zaidi zaidi walíendelea kupiga kelele na kupaza sauti !!.

Huu ni Mwanzo mzuri sana Kwa sisi tunaochambua UTAYARI WA Wananchi Kuandamana.

ITOSHE KUSEMA, MAANDAMANO NI DHAHIRI !!!

JIANDAENI KUIKOMBOA NCHI YENU !!
 
Nakwambiaj

Hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 wajaze mafuta zile helicopter za Jeshi na CCM kuwatorosha wao na familia zao.


Tumechoka kufanywa mazuzu
 
Sijui wengine mpo Nchi gani

Kwamba hakuja wai kua na Polisi Vs Wananchi Violence? Na polisi waka blow mapigo?

Maandamano yeyote ambayo yataanzishwa na wananchi wenyewe polisi hawawezi kuyazuia.
 
Umezaliwa lini Mkuu ?!! Labda useme funzo ni kwa watu wanao-formulate matatizo / kuwaelezea watu matatizo yao wakitaka kuungwa mkono waya-package kama matatizo ya watu (issues) na sio matatizo ya kisiasa (Them vs Us); - Tukiongelea Usafiri pekee Shule kama Tambaza ilikuwa inatoa Kibano kwa Makonda....

By the way haya mambo sio ya kuombea wala kufurahia ni kusikitika kuona tumefika hapa; Bila kusahau kwenye misafara ya Mamba Kenge wanaweza kuitumia na kufanya fujo na kubadilisha hoja ya struggle ya kweli (watu kudai Haki zao) na kuigeuza kwamba ni ya Vibaka waharibifu....
 
Naiangalia katika angle nyingine....
Labda wananchi wanaandamana wanapoona kweli kuna ulazima wa kuandamana.

Just thinking aloud.
Yaani imitokea mtu kaguswa yeye binafsi na jambo lililo mbele yake.Kuguswa huku kunapokuwa kwa wengi ndio yanatokea yaliyotokea jana.
 
Wakuu kama mmetizama Zile video za Wananchi wakipambana na Uhuni wa mwendokasi na genge lao la wahuni.

Polisi Licha ya kufuatia Mabomu na Risasi baridi.

Wananchi Wakigoma kutawanyika, zaidi zaidi walíendelea kupiga kelele na kupaza sauti !!.

Huu ni Mwanzo mzuri sana Kwa sisi tunaochambua UTAYARI WA Wananchi Kuandamana.

ITOSHE KUSEMA, MAANDAMANO NI DHAHIRI !!!

JIANDAENI KUIKOMBOA NCHI YENU !!
Wamegoma kuuziwa hofu ya kifo
 
Naiangalia katika angle nyingine....
Labda wananchi wanaandamana wanapoona kweli kuna ulazima wa kuandamana.

Just thinking aloud.
Na ULAZIMA wa kuandamana unaongezeka. Ari inaongezeka.

Kilichotokea kitawapa watu ujasiri kwamba "inawezekana kuandamana".
Ambacho ni kitu kizuri.

Na kingine sio nchi nzima lazima iandamane lakini majiji na miji mikubwa kikinuka basi.
 
Back
Top Bottom