Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Mara unaona Makonda katoka Arusha kaenda kumnadi mgombea wake wa Urais mikoa ya kanda ya ziwa na Dar es Salaam. Jimboni kwake hayupo kumpiga kampeniš¤£
Nape akaacha kujinadi huko jimboni Mtama akaenda zake mikoa ya Kaskazini kumnadi mgombea wake.
Jumaa Awesu akaacha kujipigia promo jimboni kwake akaenda zake Kagera na Geita kumnadi mgombea wake wa Urais.
Kwa mara ya kwanza tangu mfumo wa vyama vingi uanze ndio nimeona michezo hii.
Kwani siku hizi hawana tena kampeni meneja?
Nachoka sana mjukuu wa Clemence Mwandambo