Kwa mara ya kwanza Watanzania wote kwa umoja wetu tunazungumza michezo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Je, tumeunganishwa na siasa za nchi yetu zilizosheheni upendo na mshikamano au hii michezo ya kubahatisha?.........mwenye majawabu tafadhali!
 
Taifa Stars
Zile Millions 50
Watazitapika
 
Watanzania wengi wanalalamika kwamba kushindwa kwetu kumesababishwa na jiwe na Mwakyembe kujiingiza mpaka wametia gundu.
Walikua na pressure ya kutapika zile 50m yani bila ule mkwala mbona Lesotho wangeziona nyeti za kuku leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…