johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Je, tumeunganishwa na siasa za nchi yetu zilizosheheni upendo na mshikamano au hii michezo ya kubahatisha?.........mwenye majawabu tafadhali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunazungumzia michezo yote usikariri!Taifa Stars
Zile Millions 50
Watazitapika
Yote IpiHapa tunazungumzia michezo yote usikariri!
Lowassa na Mbowe walienda uwanjani na Yanga ikafungwa na Simba!Hii ni porojo mkuu....JK alienda uwanjani na tulifungwa.Rais Mwinyi alienda uwanjani halafu Simba ikafungwa
Acheni uchocheziWatanzania wengi wanalalamika kwamba kushindwa kwetu kumesababishwa na jiwe na Mwakyembe kujiingiza mpaka wametia gundu.
Ngumi, riadha, netball, kandanda nk!Y
Yote Ipi
kwanini wasizitoe kwa haja kubwa?Taifa Stars
Zile Millions 50
Watazitapika
Walikua na pressure ya kutapika zile 50m yani bila ule mkwala mbona Lesotho wangeziona nyeti za kuku leoWatanzania wengi wanalalamika kwamba kushindwa kwetu kumesababishwa na jiwe na Mwakyembe kujiingiza mpaka wametia gundu.