Kwa Marekebisho haya ya Canon Laws( jus canonicum), Sister Susan Bathlomeo anayedaiwa kujiua afanyiwe ibada na heshima zote!

Kama Mungu aliwaumba watu wasife milele na milele, na hiyo ndiyo ilikuwa dhamiri yake.

Halafu ikaja kutokea watu wameweza kufa, kwa sababu yoyote.

Huyo Mungu ameshindwa kutimiza alichotaka kufanya.
Una Mwanao, Ambaye siku zote amekuwa akikupendeza sana ndani ya nafsi yako ukasema huyu nitampa zawadi fulani, ghafla huyo mwanao akabadilika akageuka kuwa chukizo mbele yako, Je hio ahadi yako utaitmiza?

Una Hoja Nyepesi saana!
 
Kwahiyo hapo unamfananisha baba ambaye hana uwezo wote, ujuzi wote wala upendowote na Mungu mwenye ujuzi wote uwezowote na upendo wote?

Baba anaweza kusema mimi nilikuwa nimmpa zawadi mtoto wangu, kwa sababu sikujua atakuja kuwa vipi baadaye.

Mungu wako naye hajui yatakayokuja kuwa baadaye?

Unafananishaje ka namna hiyo baba na Mungu wakati Mungu mnasema ana uwezowote, ujuzi wote na upendowote, wakati baba hana sifa hizo?

Hapanani mwenye hoja nyepesi kati yakousiyejua kufananisha na mimi ninayekuonesha makosa ya kimantikikatikajinsi yako ya kufananisha mambo?
 
Nimekupa Mfano halisia ili upate kuelewa.. Anyways iko ivo
 
Nimekupa Mfano halisia ili upate kuelewa.. Anyways iko ivo
Hapana, umelazimisha mfano.

Baba hana uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote.

Ukimfananisha na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, umemtukana na kumdhalilisha huyo Mungu.

Unaelewa hilo?
 
Ukimfananisha na Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, umemtukana na kumdhalilisha huyo Mungu.
Hili umesema wewe sio Mimi, No Comment
 
Hili umesema wewe sio Mimi, No Comment
Hapana, wewe ndiye umemfananisha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote na Baba asiye na sifa hizo.

Unabisha?
 
Sijui kwanini siku hizi siandiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…