Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
- Thread starter
- #41
Una Mwanao, Ambaye siku zote amekuwa akikupendeza sana ndani ya nafsi yako ukasema huyu nitampa zawadi fulani, ghafla huyo mwanao akabadilika akageuka kuwa chukizo mbele yako, Je hio ahadi yako utaitmiza?Kama Mungu aliwaumba watu wasife milele na milele, na hiyo ndiyo ilikuwa dhamiri yake.
Halafu ikaja kutokea watu wameweza kufa, kwa sababu yoyote.
Huyo Mungu ameshindwa kutimiza alichotaka kufanya.
Una Hoja Nyepesi saana!