Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
We endelea kumwaga, tu,utachoka wewe. Sijaona mtu wa kujiuzuru Tz hii. Wala wa kumuwajibisha sijaona,wanaogopana piaBasi ngoja tuendelee kumwaga maji kwenye shimo, akikosa hewa atatoka tu
Aliongelea uchochoroni.Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!
Mkuu wewe ndo moja ya wana jf wanaojielewa, ile hoja yake aliitoa kama ndugai na siyo spika wa bunge. Nafikiri alichokitafuta amekipata na atakipata.Aliongelea uchochoroni.
Angeongelea bungeni alikuwa na hoja.
Mkusanyiko wa kimila na kumchamba Rais wapi na wapi.
Pia alimpania Rais direct,alikuwa anamtajataja.Kiuongozi na approach za Ayoub Zero
Inchi yetu ina watu wajinga sana badala ya kufanya analysis ya kina kile alichoongea Ndugai unakuta mtu anacomment hovyo kama hv!!?Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
Hakuna cha hoja hapo. Enzi za mwendazake mbona hakuongea.Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!
Hili ndio limeleta ukakasiHakuna cha hoja hapo. Enzi za mwendazake mbona hakuongea.
Leo Ndungai huyu huyu mliyekua mnamsifia mnasema ana file mirembe?Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
Achia ngazi mcguma unaondoka.......mbona tayari tangia jana usiku.We endelea kumwaga, tu,utachoka wewe. Sijaona mtu wa kujiuzuru Tz hii. Wala wa kumuwajibisha sijaona,wanaogopana pia
Nimemsikia Wasira alisema kwamba kusema Nchi ina miaka 60 bado ina kopa ni UJUHA coz kuna Nchi km Marekani unamiaka Zaid ya 200 na bado ina kopa kaitolea mfano pia JapanNdugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!
Aaah...! Wewe. Umebwaga?. Ubwage na ubunge basiAchia ngazi mcguma unaondoka.......mbona tayari tangia jana usiku.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hoja yake haina msingi, itatupotezea muda, kwanza atupisheInchi yetu ina watu wajinga sana badala ya kufanya analysis ya kina kile alichoongea Ndugai unakuta mtu anacomment hovyo kama hv!!?
njemba kama hii hata haijielewi
haijui hata maana ya uhuru wa kutoa maoni.....
Tz kuna mataahira mengi sana