Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima ang'ong'eBunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022.
Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake hakijakaa vizuri, Samia amtafutie madaktari wamuangalie kichwa chake.
N.B: Hii ni iwapo atagoma kujiuzuru
Kingu atapeleka hoja ya kutokuwa na imani naye...chini ya mwenyekiti Zungu itapita kwa kishindo..ndo mwanzo na mwisho wa Ndugai......ila sio mbaya mipango hii ni makubaliano kati ya Ndugai na wao.
Mbona magu alipokopa 29t ndani ya miaka mitano hakupanua domo lake?Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!