Kwa masahibu yanayompata Ndugai, pamoja na kauli yake kwamba anaumwa,ana faili Mirembe na kauli ya Erasto Ngole, asiendeshe Bunge Februari 2022

Lazima ang'ong'e
 
Kingu atapeleka hoja ya kutokuwa na imani naye...chini ya mwenyekiti Zungu itapita kwa kishindo..ndo mwanzo na mwisho wa Ndugai......ila sio mbaya mipango hii ni makubaliano kati ya Ndugai na wao.
 
Kabisa, na itakuwa mwisho wake kisiasa
Kingu atapeleka hoja ya kutokuwa na imani naye...chini ya mwenyekiti Zungu itapita kwa kishindo..ndo mwanzo na mwisho wa Ndugai......ila sio mbaya mipango hii ni makubaliano kati ya Ndugai na wao.
 
Ndugai huwa simkubali kihivyo, lakini katika hili la kukopakopa mzee ametoa hoja na yatupa apewe majibu na sio kumzomea zomea!
Mbona magu alipokopa 29t ndani ya miaka mitano hakupanua domo lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…