kasanga70
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 222
- 515
Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure?
Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa nk. Nafikiri kwa sasa moja ya barabara muhimu sana na za kimkakati kwa uchumi wa nchi ni hii barabara. Wastani wa maroli 250 hadi 300 kwa siku yanayobeba makaa ya mawe tu, bado haya mengine ya mazao, mbao, mabasi, gari binafsi nk.
Ukipita hii barabara ndio unawezajua kuwa tuliwahi kuwa na viongozi au vituko. Barabara ni mbovu mno mno na Nafikiri kama ina umri mkubwa basi ni close to 20 years only. Yaani lami hata kwa mkono unaweza ifumua halafu immediately unakutana na vumbi chini yake soo sad.
Mashimo ya kufa mtu, vilaka idadi haielezeki hivi ni nini hiki jamani Tanzania yetu....! Unakuta maintenance inafanyika kipande cha kilometres 2 mwaka mzima??...? Honest.....! Kuna mengi yanafikirisha sana anyway let's be patient....as usual Watanzania ni wastahimilivu.
Huyu mama angepita hiyo barabara hata siku moja tuu nafikiri angekuwa na cha kusema.