Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Naweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season.
Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani?
Kwa haraka ukipiga hesabu za ukweli utagunduwa Azam ndio atakuwa mshindani mzuri wakipata nafasi hiyo.
Hivyo Mimi naziombea Mabaya Yanga na Simba zitolewe kwenye nusu fainali ya FA ili Singida Big stars na Azzam wacheze fainali na itafanyika plan ya kuhakikisha Azam inakuwa bingwa, mpira huwa unaanzia mezani kwanza uwanjani ni kukamilisha tu.
Hii ni kwa watu wenye akili tu na mapenzi mema kwa nchi ndio wataelewa nilichoandika.