Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kweli.AZam watafute timu nzuri na benchi zuri, hayo mambo ya kuoneana huruma na "maslahi ya taifa" ni mambo ya hovyo. Kila mtu ashinde mechi zake
Kwa namna yoyote ile, Simba na Yanga watashiriki CAF CL, Azam na Singida BS watashiriki CAF CC. Hakuna namna yoyote itakayowezesha timu nyingine zaidi ya hizo kushiriki michuano hiyo, hata kama Azam au Singida BS hatachukua kombe la Azam SFC. Geita Gold hata akishinda mechi zote hataifikia nafasi ya nne, pia hayumo katika AZAM SFC. Kwa ufupi haukutakiwa kuanzisha uzi huuNaweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season.
Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani?
Mkuu MAPENZI peleka kwa demu wako. Tambua mpira ni uwekezaji, kama wanashindwa kupata kombe la FA hadi wapewe mezani si sawa na kwamba tunapeleka bingwa hewa kimataifa tukavune aibu.Kwa haraka ukipiga hesabu za ukweli utagunduwa Azzam ndio atakuwa mshindani mzuri wakipata nafasi hiyo.
Hivyo Mimi naziombea Mabaya Yanga na Simba zitolewe kwenye nusu fainali ya FA ili Singida Big stars na Azzam wacheze fainali na itafanyika plan ya kuhakikisha Azzam inakuwa bingwa, mpira huwa unaanzia mezani kwanza uwanjani ni kukamilisha tu.
Hii ni kwa watu wenye akili tu na mapenzi mema kwa nchi ndio wataelewa nilichoandika.
Ni kweli kabisa, Azam na Singida watashiriki CAF shirikisho au loosers (CC) baadae watatolewa na nafasi zao atachukua Yanga kwani nae atakuwa amefurushwa toka kwa mabingwa na kuwaachia mabingwa ligi yao.Kwa namna yoyote ile, Simba na Yanga watashiriki CAF CL, Azam na Singida BS watashiriki CAF CC. Hakuna namna yoyote itakayowezesha timu nyingine zaidi ya hizo kushiriki michuano hiyo, hata kama Azam au Singida BS hatachukua kombe la Azam SFC. Geita Gold hata akishinda mechi zote hataifikia nafasi ya nne, pia hayumo katika AZAM SFC. Kwa ufupi haukutakiwa kuanzisha uzi huu
View attachment 2590749
Upuuzi......Mpira hauko hivyoNaweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season.
Wasiwasi wangu muwakilishi wa NNE itakuwa timu gani?
Kwa haraka ukipiga hesabu za ukweli utagunduwa Azzam ndio atakuwa mshindani mzuri wakipata nafasi hiyo.
Hivyo Mimi naziombea Mabaya Yanga na Simba zitolewe kwenye nusu fainali ya FA ili Singida Big stars na Azzam wacheze fainali na itafanyika plan ya kuhakikisha Azzam inakuwa bingwa, mpira huwa unaanzia mezani kwanza uwanjani ni kukamilisha tu.
Hii ni kwa watu wenye akili tu na mapenzi mema kwa nchi ndio wataelewa nilichoandika.
Mabingwa au wasindikizaji bora tu kama Arsepimbi ya UK kwenye UEFA champions league?Ni kweli kabisa, Azam na Singida watashiriki CAF shirikisho au loosers (CC) baadae watatolewa na nafasi zao atachukua Yanga kwani nae atakuwa amefurushwa toka kwa mabingwa na kuwaachia mabingwa ligi yao.
Acha unaaa, mpira ni mbinu na uwezo. Hao unaowasema wangekuwa mabingwa ama wa pili or watatuNaweza nisieleweke, ila kimantiki na kimahesabu Simba, Yanga na Singida big Stars wanacheza mashindano ya CAF next season.