Kwa maslahi mapana ya soka, TFF mfungieni Haji Manara

Yaani ukitaka kujua manara ni kirusi mpaka kwenye issue nyeti angalia kwenye hili sakata la kupigwa shabiki wa coastal union yaani yule ndo angekuwa shabiki wa yanga manara angepost na kuandika maneno ya kejeli ila kwasababu ni coastal union amejikausha kama sio yeye manara ni kirusi kwenye soka letu ukiachana na uhamasishaji ana hasara nyingi kuliko faida kwa sasa .
 
Hawana ushahidi wa kumfungia haji vinginevyo na katia nae afungiwe
 
As if Haji akifungiwa utajenga hekalu, roho mbaya na chuki na jeuri ,kiburi ngozi nyeusi baaana tuko na shida sana
 
Jambo baya za kutoka kwa zeruzeru ni kuleta mifarakano na visasi katika mchezo wa soka amesahau kuwa mpira ni ushindani wa furaha sio chuki haina ya makundi.
 
As if Haji akifungiwa utajenga hekalu, roho mbaya na chuki na jeuri ,kiburi ngozi nyeusi baaana tuko na shida sana
Ww kweli una matatizo, kwan akina Blatter walipofunhiwa je walifunhiwa na nhozi nyeusi ?

Ukikosea lzm adhabu ikufikie ..na ndio maana Tff wameliona ilo ...na akifungiwa itakuwa sio mar ya kwanza
 
Haji ata uki msimamisha bado atafanyakazi kama mwandishi wa habari. Ni kama Shafii Dauda anaendelea na kazi zake licha ya kufungiwa.
Haji ni mwandishi wa habari wa kituo gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…