D
DeletedMember281674
Guest
Naona Mwangaza na Asubuhi Njema kwa Taifa Letu siku ya TAREHE 09 DECEMBER 2025, Uhuru wa Tanganyika ukizaliwa upya vijana wa Kitanganyika wakiona nchi yao ikiwa Haina utekaji na Miili ya Wapendwa wao wakipewa waende wakawazike kwa heshima na Lissu akiachiwa huru na Uchaguzi ukirudiwa ukiwa huru na katiba mpya ikipatikana na huku rasilimali za nchi zikisimamiwa vizuri ili kuleta Ajira mpya nyingi kwa watanzania na huduma za kijamii zikiwa Bora na Bure kwa wananchi wa Tanganyika
Ciao
Ciao