Kwa matatizo ya gari aina ya BMW, Range, Jeep na Benz karibu kwetu

Kwa matatizo ya gari aina ya BMW, Range, Jeep na Benz karibu kwetu

Ni kwamba majibu yako yalifutwa au maswali ya wadau uliyaruka
Sikua JF kwa mda, ndio mana unaona sikiya jibu, japo wengi walinichek kwa simu na wengine walikuja!
 
Habari wakuu! Tunashugulikia kitaalam magari tajwa hapo juu kwa bei nafuu, tupo mwenge mitaa ya TRA, magari tunayoshugulikia ni BMW, Range, Jeep, benzi na mengine, tunashugulikia kitaalam, tupo Dae es salaam maeneo ya mwenge, pia tunafanya Vehicle diagnostic services kwa hayo magari na magari mengine pia! karibuni wote! Kwa maelezo zaidi nichek kwa 0713415537 au 0684448888
Mkuu natafuta control box ya jeeP grand cherokee laredo 1996
 
Back
Top Bottom