Shukran mkuu je gari yaweza kufa ringi na gari kuwa na nguvu na ulaji wa mafuta kuwa vilevileVipi mkuu,
Pole kw kukupita bila neno.
Yaonekana leakage na ring ndio zapunguza oili yako. Fanya engine wash ya nguvu ili kuziona leakage kisha mzishughulikie.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Hbr mkuu Styvo254
Hongera sana kwa kaz nzuri hakika wewe n kisima cha maarifa wa tuliogizani (tusio na uelewa wa Magari)
Sasa chief naomba unipe madhaifu na mazuri Nissan extrail,, kipi nikifanye na nisikifanye kwa aina hii ya gari! , maana Nina mpango wa kuivuta mwez ujao!
Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu je gari yaweza kufa ringi na gari kuwa na nguvu na ulaji wa mafuta kuwa vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa kunitia moyo. So kwa maoni yako,kipekee kati ya VW Touran na Subaru Forester,unanishauri nichukue ipi?(just kwa mtazamo wako tu na maoni,other factors being kept constant)
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran mkuu kwa ushauri wako,ngoja nikipata muda nijaribu kuangalia sill kama kuna leakage then nitarudi kwa ziada ,ubarikiwe sana.Gari/engine ya petrol haitegemei uimara ya ring kama inavyotegemea diesel engine. Engine ya petrol unguruma hata ikiwa imezivunja ring, ila nguvu yake ndio uwa imeisha.
Kuna test kama leak-down na compression tests ambazo zaweza tupa indication wapi oili inapita.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Nimekupata chief kwa maelezo yako mujaarabu! Naomba kujua location yako mkubwa na kama utakuwa DSM nitaomba nikutumie wewe katika ukaguzi wa extrail hii! Mengine tutaongea ukinikubalia mkuu! Maana sitaki kuingia kichwa kichwa nisije kuchukua na kuja kulipaki juu mawe chief!Shukrani kaka!
Xtrail ni gari nzuri sana ila ufundi/teknolojia yake ndio ya kuwazingua mafundi wengi humu. Kama ni ya petrol, cha msingi kuzingatia ni service kw kutumia oili ya synthetic pekee; ya diesel itahitaji makini hasa kw mafuta uiwekayo - oili na diesel. Ukipata iliyo na DPF system, itabidi ujipange kuizima system kabla ile DPF filter ife.
Maswala mengine kama suspension ni ya kawaida tu, bora uipe zile arms na bushes itakavyzihitaji. Cha msingi ni ile maintenance service iwe ya hali ya juu - genuine, na kw mda ufaao.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Nakupata rafiki. Niko nje kiasi, nikija DSM nitakujulisha tupatane.Nimekupata chief kwa maelezo yako mujaarabu! Naomba kujua location yako mkubwa na kama utakuwa DSM nitaomba nikutumie wewe katika ukaguzi wa extrail hii! Mengine tutaongea ukinikubalia mkuu! Maana sitaki kuingia kichwa kichwa nisije kuchukua na kuja kulipaki juu mawe chief!
Regards!
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukranNakupata rafiki. Niko nje kiasi, nikija DSM nitakujulisha tupatane.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Shukrani mkuu...naomba unijuze machache kuhusu Nissan Noteya 2005.Habari za masiku wanaJF,
Kwa mda flani sasa nimekua nikifatilia swala la matatizo ya magari, na vyombo vya moto kwa jumla hapa, kwa sababu za kutoa ushauri - sio kw malipo, na pia huduma - kw mapatano.
Hapa naanzia uzi wa kutoa msaada wa mawaidha, utakavyofanya au fatilia tatizo ili uelewe utakavyotatua na kujibu maswali yoyote kuhusu ufundi wa magari na vyombo vya moto.
Napendekeza kuweka issue/tatizo hapa kwa forum ili wengine waeze kusaidika ILA kuna mambo yatabidi tuyagange nyuma ya pazia.
So, karibuni nyote.
Asante kw swali kaka,Styvo254 naomba unieleze matunzo ya Harrier new shape 2004-above , nini mapungufu yake, nini ubora wake na nini nitumie kwenye service ili idumu na nini nisitumie
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shukran kaka,Styvo254 safi sanaa kaka.. Salute kwako Great thinker... May GOD Bless you abundantly Naomba kujua kuhusu Mercedes Benz C Class (C180). Matatizo yake ya kuweza kuepuka.. natanguliza shukrani Mkuu
Asante kw swamiShukrani mkuu...naomba unijuze machache kuhusu Nissan Noteya 2005.
Ningependa kufahamu technical issues za hii gari..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri jawabu na mieeeMkuu asante ,usituchoke !
Kwa sisi maskini neno babywalker halituhusu. Naomba kuuliza ni ipi gari nzuri kununua kati ya :
Toyota passo
Toyota starlet reflect
Toyota glanza
Toyota swift,
Ushauri pia nje hizo unaweza nipatia.
Shukran sana mkuu...Ubarikiwe sanaAsante kw swami
Nissan Note ni gari nzuri sana ya size ndogo, kw matumizi ya mjini kwsababu ya unywaji mzuri was mafuta na pia starehe.
La kuweka maanani ni transmission/gearbox yake sio automatic ya kawaida ila ni CVT. Hii lazima uiweke mafuta ya Nissan NS-2 pekee unapoifanyia service au utaibadili gearbox baada ya kilometa chache.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk