Kwa matatizo ya gari

Kwa matatizo ya gari

Nimesoma jinsi ambavyo umejibu comments za watu mbalimbali na ningependa kusema una customer care nzuri sana na unaonekana kupenda kazi yako. mimi nina mawili tu
1. tuwekee namba yako ya simu
2. tuambie unapatikana wapi (ofisi yako ilipo)
 
Mambo Ilogelo,
Kunywa mafuta, anzia na engine, na uweke oil ya synthetic tafadhali, plugs na filter genuine pia kisha nieleze kuendavyo!
Kuvuma kw kasi zaidi ya 80km/hr, cheki wheel balance, computerized alignment, tie-rod ends na ball joints. Zitakua/kutakua na kasoro kw moja ya hizi, rekebisha na genuine part na sio kufinya ball joints au kupuuza alignment ya computer. You'll see a difference!
Filter nimeweka og, plugs, oil ya bp (3000), ATF T4, ball joints, na wheel aliginment nimefanya lakini tatizo la consumption bado lipo
 
Lazma Dai alambwe nyayo, Huyu Mwakyembe kakalishwa na Makonda ambaye ndo mlezi wa Dai, ndo anamshauri Dai achape madem na kuwaacha bila matunzo alafu anawaambia madem waje kushtaki,
 
Nimesoma jinsi ambavyo umejibu comments za watu mbalimbali na ningependa kusema una customer care nzuri sana na unaonekana kupenda kazi yako. mimi nina mawili tu
1. tuwekee namba yako ya simu
2. tuambie unapatikana wapi (ofisi yako ilipo)
Asante kw maneno mazuri, yaniongeza moyo sana! Kw mawasiliano, fora hii ndio sahihi kw matatizo madogo madogo ili wengine wakapata faidika pia. Lingine ni kuepukana na wasumbufu; mambo yakiwa hadharani, mambo ya aibu aibu hayafanyiki.
Kwa issue sugu, hasaa pale unapohitaji mawaidha zaidi ya kiufundi au msaada, twaeza patana inbox!
 
Samahani, nimesahau kueleza ofisi ipo wapi. Tunapatikana Morogoro mjini.
 
Filter nimeweka og, plugs, oil ya bp (3000), ATF T4, ball joints, na wheel aliginment nimefanya lakini tatizo la consumption bado lipo
Oil uliyotumia sio ya Synthetic, tumia Total Quartz 9000 au Shell Ultra. Plugs pia utegemea engine, inayoifaa 1zz sio ya 1az!
Kama hakuna mabadiliko makubwa, huenda kukawa na hitilafu au tatizo flani sehemu ambapo lazima sasa tuikague gari (diagnosis : mechanical na computer/electronic)
 
Mkuu.mimi gari yangu nikiwa nadrive after some time inatoa harufu kama ya kitu kinaungua kwenye vent za ac! Tatizo laweza kuwa nini!!!?
Faatilia bomba la exhaust na sehemu zinazokua moto kama block na head; huenda kuna waya/cover au hose inayogusa. Lingine ni uchafu au kuvuja/kutona kw oili kw hizo sehemu! Kagua vizuri hasaa kutoka upande wa chini na pale nyuma ya engine/chini ya windscreen!
 
Habari, nina gari rav 4 yenye engine 3s ina tatizo la kutokuwa na nguvu kabisa milimani nimebadili engine oil na transmission (gearbox) oil but problem ipo palepale, msaada wako tafadhali
Hapa lazima kukagua vyema kabla ya kuendelea zaidi. Yaweza kua engine imechoka, imechapa au iko out of tune!
 
Habari Mkuu,
Nina IST ina tatizo la kusitasita ikifikia kati ya speed 60 na 90 ikiwa chini ya 60 au zaidi ya 90 inakwenda vizuri. Naomba unifahamishe tatizo lake na ufumbuzi.
Thanks
Hapa issue yaweza kua tuning, plugs zisizoifaa engine au kasoro/tatizo kw mfumo wa VVTI. Diagnosis kwanza.
 
Samahani, nimesahau kueleza ofisi ipo wapi. Tunapatikana Morogoro mjini.

Mungu akupe maisha marefu wewe binafsi,aibariki taaluma yako!Umejawa na busara,mahusiano mema na huduma bora kwa sie unaotuelimisha!Approach yako nzuri saana,inaweza fanya mtu akapakia kwenye lori gari yake ndogo ili akufuate Morogoro!
Una ujuzi na unayotufunza ndio maana una heshima kwenye kujibu maswali!
Nakushuru saana saana Fundi!
Bless you
 
Asante sana kiongozi!
 
Habari ya SAA hizi, Gari yangu ya IST inagonga chini kama vyuma vinaaka kukatika na miguu yote miwili imebadilishwa na kuwekwa mipya tatizo ni nini?
 
Oil uliyotumia sio ya Synthetic, tumia Total Quartz 9000 au Shell Ultra. Plugs pia utegemea engine, inayoifaa 1zz sio ya 1az!
Kama hakuna mabadiliko makubwa, huenda kukawa na hitilafu au tatizo flani sehemu ambapo lazima sasa tuikague gari (diagnosis : mechanical na computer/electronic)
Nipo Dar, ninawezaje kupata huduma yako mkuu?
 
habari mkuu nina suzuki kei nikiwasha asubuhi , niwek revers inakataa kurudi nyuma nikiizima, baada ya muda nikiiwash inakubli , ila upandishe mafuta kwa nguvu ndo inakubali ..hata ninapoendesha njiani huwa inashtuka shtua kidogo je ni tatizo gani?
 
Pia naamini ndani ya wiki moja utakua umeshaona tofauti.
Nashukuru Mkuu toka nilipobadili mpaka Leo nimetembea kilomita zaidi ya buku naona haijapungua na utofauti ni mkubwa tofauti na ili niliyoitumia kabla ingeonesha utofauti Wa kupungua kidogo.
 
habari mkuu nina suzuki kei nikiwasha asubuhi , niwek revers inakataa kurudi nyuma nikiizima, baada ya muda nikiiwash inakubli , ila upandishe mafuta kwa nguvu ndo inakubali ..hata ninapoendesha njiani huwa inashtuka shtua kidogo je ni tatizo gani?
Hii itahitaji diagnostics ili tupate kujua hitilafu iko wapi hasaa.
 
Mkuu mimi engine yangu ni 1mz V6,nimeambiwa sensor zilizopo kwenye hicho kifaa zimekufa,nipo tabora naomba msaada wako ni wapi naweza pata ufumbuzi wa tatizo hili.....ASANYE
IMG-20180404-WA0012.jpg
IMG-20180404-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom