Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,362
Kafanye Wheel balance mzee..Msaada, toyota wish cc1780 imeanza kula mafita. pia nikitaka kwenda speed zaidi ya 80 inatetemeka na kuvuma. sijui itakuwa na tatizo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanye Wheel balance mzee..Msaada, toyota wish cc1780 imeanza kula mafita. pia nikitaka kwenda speed zaidi ya 80 inatetemeka na kuvuma. sijui itakuwa na tatizo gani
Filter nimeweka og, plugs, oil ya bp (3000), ATF T4, ball joints, na wheel aliginment nimefanya lakini tatizo la consumption bado lipoMambo Ilogelo,
Kunywa mafuta, anzia na engine, na uweke oil ya synthetic tafadhali, plugs na filter genuine pia kisha nieleze kuendavyo!
Kuvuma kw kasi zaidi ya 80km/hr, cheki wheel balance, computerized alignment, tie-rod ends na ball joints. Zitakua/kutakua na kasoro kw moja ya hizi, rekebisha na genuine part na sio kufinya ball joints au kupuuza alignment ya computer. You'll see a difference!
Asante kw maneno mazuri, yaniongeza moyo sana! Kw mawasiliano, fora hii ndio sahihi kw matatizo madogo madogo ili wengine wakapata faidika pia. Lingine ni kuepukana na wasumbufu; mambo yakiwa hadharani, mambo ya aibu aibu hayafanyiki.Nimesoma jinsi ambavyo umejibu comments za watu mbalimbali na ningependa kusema una customer care nzuri sana na unaonekana kupenda kazi yako. mimi nina mawili tu
1. tuwekee namba yako ya simu
2. tuambie unapatikana wapi (ofisi yako ilipo)
Samahani, nimesahau kueleza ofisi ipo wapi. Tunapatikana Morogoro mjini.Asante kw maneno mazuri, yaniongeza moyo sana! Kw mawasiliano, fora hii ndio sahihi kw matatizo madogo madogo ili wengine wakapata faidika pia. Lingine ni kuepukana na wasumbufu; mambo yakiwa hadharani, mambo ya aibu aibu hayafanyiki.
Kwa issue sugu, hasaa pale unapohitaji mawaidha zaidi ya kiufundi au msaada, twaeza patana inbox!
Oil uliyotumia sio ya Synthetic, tumia Total Quartz 9000 au Shell Ultra. Plugs pia utegemea engine, inayoifaa 1zz sio ya 1az!Filter nimeweka og, plugs, oil ya bp (3000), ATF T4, ball joints, na wheel aliginment nimefanya lakini tatizo la consumption bado lipo
Faatilia bomba la exhaust na sehemu zinazokua moto kama block na head; huenda kuna waya/cover au hose inayogusa. Lingine ni uchafu au kuvuja/kutona kw oili kw hizo sehemu! Kagua vizuri hasaa kutoka upande wa chini na pale nyuma ya engine/chini ya windscreen!Mkuu.mimi gari yangu nikiwa nadrive after some time inatoa harufu kama ya kitu kinaungua kwenye vent za ac! Tatizo laweza kuwa nini!!!?
Hapa lazima kukagua vyema kabla ya kuendelea zaidi. Yaweza kua engine imechoka, imechapa au iko out of tune!Habari, nina gari rav 4 yenye engine 3s ina tatizo la kutokuwa na nguvu kabisa milimani nimebadili engine oil na transmission (gearbox) oil but problem ipo palepale, msaada wako tafadhali
Hapa issue yaweza kua tuning, plugs zisizoifaa engine au kasoro/tatizo kw mfumo wa VVTI. Diagnosis kwanza.Habari Mkuu,
Nina IST ina tatizo la kusitasita ikifikia kati ya speed 60 na 90 ikiwa chini ya 60 au zaidi ya 90 inakwenda vizuri. Naomba unifahamishe tatizo lake na ufumbuzi.
Thanks
Samahani, nimesahau kueleza ofisi ipo wapi. Tunapatikana Morogoro mjini.
Asante sana kiongozi!Mungu akupe maisha marefu wewe binafsi,aibariki taaluma yako!Umejawa na busara,mahusiano mema na huduma bora kwa sie unaotuelimisha!Approach yako nzuri saana,inaweza fanya mtu akapakia kwenye lori gari yake ndogo ili akufuate Morogoro!
Una ujuzi na unayotufunza ndio maana una heshima kwenye kujibu maswali!
Nakushuru saana saana Fundi!
Bless you
Nipo Dar, ninawezaje kupata huduma yako mkuu?Oil uliyotumia sio ya Synthetic, tumia Total Quartz 9000 au Shell Ultra. Plugs pia utegemea engine, inayoifaa 1zz sio ya 1az!
Kama hakuna mabadiliko makubwa, huenda kukawa na hitilafu au tatizo flani sehemu ambapo lazima sasa tuikague gari (diagnosis : mechanical na computer/electronic)
Ok asante mkuu ngoja nifanye hivyoHapa lazima kukagua vyema kabla ya kuendelea zaidi. Yaweza kua engine imechoka, imechapa au iko out of tune!
Nashukuru Mkuu toka nilipobadili mpaka Leo nimetembea kilomita zaidi ya buku naona haijapungua na utofauti ni mkubwa tofauti na ili niliyoitumia kabla ingeonesha utofauti Wa kupungua kidogo.Pia naamini ndani ya wiki moja utakua umeshaona tofauti.
Hii itahitaji diagnostics ili tupate kujua hitilafu iko wapi hasaa.habari mkuu nina suzuki kei nikiwasha asubuhi , niwek revers inakataa kurudi nyuma nikiizima, baada ya muda nikiiwash inakubli , ila upandishe mafuta kwa nguvu ndo inakubali ..hata ninapoendesha njiani huwa inashtuka shtua kidogo je ni tatizo gani?