Pole kw kmy kaka
Mkuu kwema? Nimerudi tena kwa ufahamu zaidi kuna mtu aliniambia kuwa hata air cleaner ikichoka inaweza sababisha gari kupunguza oil je hilo linawezekana kitaalam na uhusiano uko wapi.Shukran mkuu kwa ushauri wako,ngoja nikipata muda nijaribu kuangalia sill kama kuna leakage then nitarudi kwa ziada ,ubarikiwe sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema? Nimerudi tena kwa ufahamu zaidi kuna mtu aliniambia kuwa hata air cleaner ikichoka inaweza sababisha gari kupunguza oil je hilo linawezekana kitaalam na uhusiano uko wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu Afrika tuko nyuma kw upatijanaji wa bidhaa ya kisasa - new products. Oili ya synthetic classification ya CI ni mojawapo. Tumia synthetic sababu ubora na faida zake ni nyingi kama vile kuzuia kukolea kw uchafu na kuhimili joto.Styvo254 thanks kwa kutujuza mambo makini, nauliza, kwenye engine oil zilizoko sokoni, nimejaribu kutafuta oil ya Synthetic yenye API service ya CI-4 hazipatikani kabisa, zipo zenye API service CF ambayo ni low quality sana, zilizopo za CI-4 zote sio Synthetic, sasa ipi bora Synthetic ya CF au CI-4 ya mineral oil ? Nazungumzia oil ya diesel engines..
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran sana mkuu kwa ushauri ila bado naendelea kuuliza "ulivyojibu ni kuwa ikiziba inaingiza vacuum inaongeza kwenyye maniford lkn hii ya kwangu naipuliza kila service je ikiwa imechanika kidogo na kupelekea vumbi kuingia ndani ya maniford ina matokeo gani? Nachanganyikiwa mkuu gari bado inavuta vzr sana kuliko hata ilipokuwa mpya ndani ya km 2 nikivuta inaweza kubaliza speed 180 bila shida ila kupungua oil ndio napatwa na wasiwasi kuwa ringi zimeendaNi kweli air cleaner/filter ikiziba yasababisha upungufu was oili. Kuziba kwake uongeza vacuum kwenye manifold ambayo uvuta oili kupitia crankcase ventilation - pipe inayotoka pale kwa top cover ya kutoa pressure ndani ya engine.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Na hii ndio air cleaner yake nimeamua kuibadilisha,kwa kwa kuibadilisha inaweza niletea matokeo tofauti?Shukran sana mkuu kwa ushauri ila bado naendelea kuuliza "ulivyojibu ni kuwa ikiziba inaingiza vacuum inaongeza kwenyye maniford lkn hii ya kwangu naipuliza kila service je ikiwa imechanika kidogo na kupelekea vumbi kuingia ndani ya maniford ina matokeo gani? Nachanganyikiwa mkuu gari bado inavuta vzr sana kuliko hata ilipokuwa mpya ndani ya km 2 nikivuta inaweza kubaliza speed 180 bila shida ila kupungua oil ndio napatwa na wasiwasi kuwa ringi zimeenda
Ni wazi kua ile issue ya vacuum kuwa juu na kuvuta oili kw manifold haiko. Oili yaweza kua yatokea kwa gaskets au seal, fanya engine wash ya nguvu kisha ukague engine kw makini.Na hii ndio air cleaner yake nimeamua kuibadilisha,kwa kwa kuibadilisha inaweza niletea matokeo tofauti?View attachment 862793
Cheki Diff oil au wanaita cc la sivyo unakaanga diff.Check engine oil kama iko sawa. Mara nyingi Gari ikitetemeka ingini unakuta oil imepingua
Vp kuhusu ulaji wake wa mafuta?Shukrani kaka!
Xtrail ni gari nzuri sana ila ufundi/teknolojia yake ndio ya kuwazingua mafundi wengi humu. Kama ni ya petrol, cha msingi kuzingatia ni service kw kutumia oili ya synthetic pekee; ya diesel itahitaji makini hasa kw mafuta uiwekayo - oili na diesel. Ukipata iliyo na DPF system, itabidi ujipange kuizima system kabla ile DPF filter ife.
Maswala mengine kama suspension ni ya kawaida tu, bora uipe zile arms na bushes itakavyzihitaji. Cha msingi ni ile maintenance service iwe ya hali ya juu - genuine, na kw mda ufaao.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Hiyo ya diesel na petrol ipi ni bora?Shukrani kaka!
Xtrail ni gari nzuri sana ila ufundi/teknolojia yake ndio ya kuwazingua mafundi wengi humu. Kama ni ya petrol, cha msingi kuzingatia ni service kw kutumia oili ya synthetic pekee; ya diesel itahitaji makini hasa kw mafuta uiwekayo - oili na diesel. Ukipata iliyo na DPF system, itabidi ujipange kuizima system kabla ile DPF filter ife.
Maswala mengine kama suspension ni ya kawaida tu, bora uipe zile arms na bushes itakavyzihitaji. Cha msingi ni ile maintenance service iwe ya hali ya juu - genuine, na kw mda ufaao.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Vp kuhusu ulaji wake wa mafuta?
Za Kazi KIONGOZI, naomba kujifunza, nina Toyota Voltz yenye 4WD with automatic transmission. Ni muda Gani/ gear ipi 4WD inatumika au all the time? Thanks.
Habari za leo kaka,mkuu Styvo254 Nina Toyota rav4 killtime inatatizo la kukatika kwa stabilizer bar hii ni mara ya tatu inatokea naomba msaada nini sababuView attachment 867817