Kwa matatizo ya gari

Kwa matatizo ya gari

Nasubiri jawabu na mieee

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kw kmy kaka
Magari nayo ni kama sawa, labda ile Starlet Glanza haitolewi tena ila gari ya kipekee. Kama waweza ipata ikiwa condition nzuri, hii ni gari. Transmission na engine sio delicate kama zingine ulizotaja pia spare tele.
Kwa gari yeyote ile, zingatia marekebisho kw makini na uiendeshaji wa kiungwana na gari Lita dumu.

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
 
Shukran mkuu kwa ushauri wako,ngoja nikipata muda nijaribu kuangalia sill kama kuna leakage then nitarudi kwa ziada ,ubarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwema? Nimerudi tena kwa ufahamu zaidi kuna mtu aliniambia kuwa hata air cleaner ikichoka inaweza sababisha gari kupunguza oil je hilo linawezekana kitaalam na uhusiano uko wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Styvo254 thanks kwa kutujuza mambo makini, nauliza, kwenye engine oil zilizoko sokoni, nimejaribu kutafuta oil ya Synthetic yenye API service ya CI-4 hazipatikani kabisa, zipo zenye API service CF ambayo ni low quality sana, zilizopo za CI-4 zote sio Synthetic, sasa ipi bora Synthetic ya CF au CI-4 ya mineral oil ? Nazungumzia oil ya diesel engines..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli air cleaner/filter ikiziba yasababisha upungufu was oili. Kuziba kwake uongeza vacuum kwenye manifold ambayo uvuta oili kupitia crankcase ventilation - pipe inayotoka pale kwa top cover ya kutoa pressure ndani ya engine.

Huku kwetu Afrika tuko nyuma kw upatijanaji wa bidhaa ya kisasa - new products. Oili ya synthetic classification ya CI ni mojawapo. Tumia synthetic sababu ubora na faida zake ni nyingi kama vile kuzuia kukolea kw uchafu na kuhimili joto.

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
 
Naomba msaada, nataka kubadili engine ya Isuzu bigon neweke aina nyingine ya engine aidha iwe ya petrol au diesel
1: Aina gani ya engine iliyo nzuri.
2: Ni mambo gani ya kuzingatia ninapo badilisha engine kwenye gari, zingatia nataka kuweka iliyotofauti na ile iliyo kuwemo ( muundo ).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli air cleaner/filter ikiziba yasababisha upungufu was oili. Kuziba kwake uongeza vacuum kwenye manifold ambayo uvuta oili kupitia crankcase ventilation - pipe inayotoka pale kwa top cover ya kutoa pressure ndani ya engine.

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Shukran sana mkuu kwa ushauri ila bado naendelea kuuliza "ulivyojibu ni kuwa ikiziba inaingiza vacuum inaongeza kwenyye maniford lkn hii ya kwangu naipuliza kila service je ikiwa imechanika kidogo na kupelekea vumbi kuingia ndani ya maniford ina matokeo gani? Nachanganyikiwa mkuu gari bado inavuta vzr sana kuliko hata ilipokuwa mpya ndani ya km 2 nikivuta inaweza kubaliza speed 180 bila shida ila kupungua oil ndio napatwa na wasiwasi kuwa ringi zimeenda
 
Na hii ndio air cleaner yake nimeamua kuibadilisha,kwa kwa kuibadilisha inaweza niletea matokeo tofauti?
IMG_20180908_092947_5.jpg
 
Na hii ndio air cleaner yake nimeamua kuibadilisha,kwa kwa kuibadilisha inaweza niletea matokeo tofauti?View attachment 862793
Ni wazi kua ile issue ya vacuum kuwa juu na kuvuta oili kw manifold haiko. Oili yaweza kua yatokea kwa gaskets au seal, fanya engine wash ya nguvu kisha ukague engine kw makini.
 
Shukrani kaka!
Xtrail ni gari nzuri sana ila ufundi/teknolojia yake ndio ya kuwazingua mafundi wengi humu. Kama ni ya petrol, cha msingi kuzingatia ni service kw kutumia oili ya synthetic pekee; ya diesel itahitaji makini hasa kw mafuta uiwekayo - oili na diesel. Ukipata iliyo na DPF system, itabidi ujipange kuizima system kabla ile DPF filter ife.
Maswala mengine kama suspension ni ya kawaida tu, bora uipe zile arms na bushes itakavyzihitaji. Cha msingi ni ile maintenance service iwe ya hali ya juu - genuine, na kw mda ufaao.

Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Vp kuhusu ulaji wake wa mafuta?
 
Hiyo ya diesel na petrol ipi ni bora?
 
Za Kazi KIONGOZI, naomba kujifunza, nina Toyota Voltz yenye 4WD with automatic transmission. Ni muda Gani/ gear ipi 4WD inatumika au all the time? Thanks.
 
Hakuna gari utengezwa ikiwa "guzzler" yaani kutumia mafuta kupindukia! Kutozingatia maintenance schedule, kutumia spare gushi au mbovu na/au mafundi wasioelewa. Natoa mfano wa Range Rover ya kwanza; engine ni ya lita 3.9 na yatumia carburettor mbili za Stromberg. Gari hii ikiwa na kasoro kw carb zake au ikipoteza tuning yake, ULA mafuta kama upepo, waeza iona gauge ikitembea, ila ikiwa tip-top, nguvu na hata mngurumo wake uridhisha tatizo ni kuitarajia kutumia kiasi sawa cha mafuta kama vitz au mini, kumbuka engine yake ni mara nne ile ya vitz!
Vp kuhusu ulaji wake wa mafuta?
 
Mambo vipi kaka,
Magari mengi ya 4WD sasa hua ya full time kama vile Subaru. Ila pale kwa transfer yake kuna kifaa cha kugawa ile nguvu - coupling - ambayo uelekeza nguvu kiasi aitha mbele au nyuma kulingana na hali ya barabara.
Natumai nimekujubu vizuri, karibu!
Za Kazi KIONGOZI, naomba kujifunza, nina Toyota Voltz yenye 4WD with automatic transmission. Ni muda Gani/ gear ipi 4WD inatumika au all the time? Thanks.
 
mkuu Styvo254 Nina Toyota rav4 killtime inatatizo la kukatika kwa stabilizer bar hii ni mara ya tatu inatokea naomba msaada nini sababu
images.jpg
 
mkuu Styvo254 Nina Toyota rav4 killtime inatatizo la kukatika kwa stabilizer bar hii ni mara ya tatu inatokea naomba msaada nini sababuView attachment 867817
Habari za leo kaka,
Sio kawaida au rahisi stabilizer bar kukatika. Kazi yake hua kuzuia kunesa kwa upande mmoja kama pale ukipiga kona ukiwa kasi kidogo. Yaonekana suspension yako iko na tatizo hasa kw shox, arms za upande wa chini au zile links zilizowekwa hazifai.
Gari lako umeweka spacers kw shox?
 
Mimi ninagari aina ya passo yenye piston tatu .Hii gari inatatizo lakuwasha taa ya oil pindi nikisafili safari ndefu kwamfano kutoka wilayani adi mkoan .Na sana San nikiwa na mzigo au nikiwa nimepakiza watu .Nakumbuka niliipeleka garage wakaangalia baadhi ya matatizo pamoja na samplo na pia wakaisafisha oil pump lakin bado tatizo likawa ni lile lile .Nikashauliwa na mafundi ninunue oil pump mpya ya iyo passo lakin kwa bahat mbaya nilitafuta bila mafanikio lakin nikabahatika kununua oil pump used .Na walipo iweka ile used kidogo tatizo likapungua kwa safari za mtaani ikawa pow lakin kwa safari za mbali ikawa vile vile so mpaka Leo siwez safiri safar ndefu naishia wilayan tu na bado sijapata solution japo service nafanyia vizur tu
 
Back
Top Bottom