kwa matoke haya nisome course gani ili nipate mkopo

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
nina III ya 15 ya HKL (HistoryE KiswahiliE LanguageE General studiesS). Naombeni ushauri wenu. Asanteni!
 
We unaangalia unachopenda au mkopo!? Je ukiambiwa engineering utaenda!? Timiza malengo ndugu...kama unataka kua ticha just go for it...ila usichek sana penye mkopo..unaeza potea..
 
we cjui jinga vjana wa cku hzi mkoje,dume zma limesoma hkl bora hata sasa ungepata hata 2 ona una 3.hata chuo hujafika unaijua jf.nenda kasome eductn afu cjui watt wetu utawafundisha nn
 
ilo nalo neno
 
usiseme hivyo we ----!!
 
we cjui jinga vjana wa cku hzi mkoje,dume zma limesoma hkl bora hata sasa ungepata hata 2 ona una 3.hata chuo hujafika unaijua jf.nenda kasome eductn afu cjui watt wetu utawafundisha nn

nina uhakika wewe ulipata o form four au four ya 30 coz mtu aliyeelimika hawez kutoa kebeh kama zako kwan kuna kosa gani mwanaume kusoma hkl?? Mbulula wewe!
 
Back
Top Bottom