C Chizy Za kitaa Senior Member Joined Jan 7, 2014 Posts 167 Reaction score 13 Jul 9, 2014 #1 Wadau polen na kaz..mdogo wangu amehtmu form4 2012 alipata dv4 points 26 sasa anahtaj asome kozi za afya.. civ_D hist_C kisw_C eng_D geo_D bios_D chem_D b/math_F Je! kwa matokeo haya akiomba nafac wizara ya afya anaweza akachaguliwa?
Wadau polen na kaz..mdogo wangu amehtmu form4 2012 alipata dv4 points 26 sasa anahtaj asome kozi za afya.. civ_D hist_C kisw_C eng_D geo_D bios_D chem_D b/math_F Je! kwa matokeo haya akiomba nafac wizara ya afya anaweza akachaguliwa?
C Cjuimapenzi Member Joined Apr 13, 2014 Posts 24 Reaction score 3 Jul 9, 2014 #2 mmh mi hata cjui ngoja waje wenyewe
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Jul 9, 2014 #3 mbona physics siioni kama hakufanya hapati nafasi.Zinatakiwa D-3 Phy-D Chem-D Bios-D hapa ndio atapata nafasi
mbona physics siioni kama hakufanya hapati nafasi.Zinatakiwa D-3 Phy-D Chem-D Bios-D hapa ndio atapata nafasi
C Cjuimapenzi Member Joined Apr 13, 2014 Posts 24 Reaction score 3 Jul 10, 2014 #4 Amon Mtekateka said: mbona physics siioni kama hakufanya hapati nafasi.Zinatakiwa D-3 Phy-D Chem-D Bios-D hapa ndio atapata nafasi Click to expand... mkuu mbona yy ana CBG so kwan asipate?
Amon Mtekateka said: mbona physics siioni kama hakufanya hapati nafasi.Zinatakiwa D-3 Phy-D Chem-D Bios-D hapa ndio atapata nafasi Click to expand... mkuu mbona yy ana CBG so kwan asipate?
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,596 Reaction score 2,226 Jul 10, 2014 #5 Cjuimapenzi said: mkuu mbona yy ana CBG so kwan asipate? Click to expand... mkuu geography inamubana sana.
Cjuimapenzi said: mkuu mbona yy ana CBG so kwan asipate? Click to expand... mkuu geography inamubana sana.