Wewe ni ishara ya kilazaAende veta
DIploma in pharmacyWakuu poleni na majukum.
Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi...
Kikwazo ni F ya physicsWakuu poleni na majukum,
Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi.
Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya :
PHYSICS. " F"
CHEMISTRY " B"
BIOLOGY. "C"
MATHEMATICS "C"
ENGLISH " B"
Kiujumla ana Division Two ya point 19.
kwani veta si ushauri mzuri kwakeWewe ni ishara ya kilaza
Yeye kauliza kozi za afya unamwambia nenda Veta,kwani veta si ushauri mzuri kwake
afya ya mifugo nafikiri wanatoa NTN levo 3 kushuka chiniYeye kauliza kozi za afya unamwambia nenda Veta,
Veta wanatoa kozi za afya?
Dental? Bila phys? Seriously?Dental na Pharmacy