Kwitogelo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2023 Posts 310 Reaction score 442 Jan 29, 2023 #1 Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
FUTURE HUNTER JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 2,050 Reaction score 2,651 Jan 29, 2023 #2 Anakidhi kozi zote za afya hapo
Kwitogelo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2023 Posts 310 Reaction score 442 Jan 29, 2023 Thread starter #3 FUTURE HUNTER said: Anakidhi kozi zote za afya hapo Click to expand... Shukrani mkuu. Na je,kuna uwezekano akachaguliwa kwenye vyuo vya serikali? Au tuanze kujipanga huku kwingine tu?
FUTURE HUNTER said: Anakidhi kozi zote za afya hapo Click to expand... Shukrani mkuu. Na je,kuna uwezekano akachaguliwa kwenye vyuo vya serikali? Au tuanze kujipanga huku kwingine tu?
Podcast JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 767 Reaction score 901 Jan 29, 2023 #4 Uyo anaenda bila ubishi
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,573 Reaction score 10,063 Jan 29, 2023 #5 vyuo vya selikari hupati. kasome kam collage clinical medicine
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,573 Reaction score 10,063 Jan 29, 2023 #6 Kwitogelo said: Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D Click to expand... Geograph iko wap?
Kwitogelo said: Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D Click to expand... Geograph iko wap?
Kwitogelo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2023 Posts 310 Reaction score 442 Jan 29, 2023 Thread starter #7 Geog ana C