Eshacky
JF-Expert Member
- Apr 26, 2011
- 965
- 252
comb HKL (D,D,D) 2 ya 12taja combination yako ya A level.. tukupe ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
comb HKL (D,D,D) 2 ya 12taja combination yako ya A level.. tukupe ushauri
Nadhani hujanielewa mkuu...hoja yangu hapa ni kwamba kwa matokeo ya division three ni ngumu kupata udahili kwa kozi nyingine zaidi ya ualimu.
nimejaribu kutoa uhalisia wa mambo na si kuonesha dharau kwa fani ya ualimu.
anaweza bahatisha kupata udahili kwenye kozi tofauti na ualimu ila sera ya serikali ni kwamba walio eligible kupata mkopo ni waliopata div 1 na 2 bila kujali unasoma kozi gani na div 3 kwa wanaosoma ualimu.
dhambi yangu kama ipo kwenye kutoa taarifa hapo nitakubali mkuu
Ndugu yangu huo ndio uhalisia wenyewe!! Kwa nini unabishana na ukweli. Tafuta mwalimu yoyote tanzanina umuulize alienda kusoma ualimu kwa nini? Asilimia kubwa, zaidi ya 95% walienda ualimu baada ya kupata lower grades katika ngazi husika ya mtiani i.e Form 4 au f6. Hata kama wewe pia ni mwalimu, pia ulikuwa umepata lower grades huo ndo ukweli.
Wewe ungekuwa tayar na higher grades zako, ukasome taaluma ambayo baada ya hapo unapelekwa mahala unakaa ofisini, viti ni mianzi imelazwa kwenye magogo wakati unaweza kusomea taaluma ambayo utafanya kazi kwenye kiyoyozi??? To be honest ungekubali hilo?
Hakuna mtu anayependa kuishi maisha magumu, so hakuna mtu yupo tayar kusoma kitu kinacho muhakikishia maisha magumu katika mazingira magumu.
Wana jamvi, mimi nina div 2 ya 12 HKL,(d,d,d). Nania ya kusoma udsm, je n kwa koz ipi kat ya hizi naweza kupata! PSPA,LAW,INTERNATIONAL RELATION na koz zngine zenye tija.
Na kama mna ushaur wa ziada ndugu zangu..
hapana sina! Je unanishaur coz zip kuna possibility ya kupata udsm kwa hzo point, na vp udom kwa upande wa pili!internation relations Udsm hakuna labda Udom.pspa,law ni ngumu kupata udsm(au una enforcement mechanism?