Kwa matokeo haya atasoma chuo kikuu??????


Well said SANGALA ubarikiwe
 

mkuu unankumbusha wakati wa gradu yetu mgeni rasmi wakati anatupongeza alisema,hongereni kwanza kwa kuchagua kozi ambayo mazingira ya kazi sharti kuwe na umeme,pili komputa na kalculator,tatu kukaa na hela au kusaini ela za wenzio! Jaman uhasibu raha,hatufanyi kazi pasipo na nishati. Hata ukiambia uende tandaimba lazima ni tandaimba mjini au center au wilayani. Ila mwl,dk,afsa mifugo,mfuga nyuki,au kilimo raaraahraah,kule ndaniii,remoteee! Du! Kumbe success begins with choice! Natania wakuu!japo ni utani ukweli. Gudnit wanajamvi!
 
Wana jamvi, mimi nina div 2 ya 12 HKL,(d,d,d). Nania ya kusoma udsm, je n kwa koz ipi kat ya hizi naweza kupata! PSPA,LAW,INTERNATIONAL RELATION na koz zngine zenye tija.
Na kama mna ushaur wa ziada ndugu zangu..

internation relations Udsm hakuna labda Udom.pspa,law ni ngumu kupata udsm(au una enforcement mechanism?
 
internation relations Udsm hakuna labda Udom.pspa,law ni ngumu kupata udsm(au una enforcement mechanism?
hapana sina! Je unanishaur coz zip kuna possibility ya kupata udsm kwa hzo point, na vp udom kwa upande wa pili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…