Kwa matokeo haya duuu!

NaCl

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
40
Reaction score
3
Habari zenu wana jf kwanza kabisa napenda kuishukuru serikali yetu kwa kutuletea matokeo mapya, kuna wengi wamefurahishwa kutokana na matokeo hayo ikiwemo wanafunzi, wazazi pamoja na walimu ila mi kwa upande wangu sijafurahi wala sijachukia kwasababu matokeo ya mwanzo nilikua na 4 ya 27 na sasa nina 3 ya 24 civ-d hist-f geo-d kisw-c eng-c phy-d chem-c bio-c math-d lakini sina hata comb moja iliyobalance. Hivyo napenda msaada wenu wana jf inawezekana mimi nikaenda advance kusoma pcb? Na inawezekana nikachaguliwa kusoma shule ya serikali maana nimetoka shule ya kata.
 

pcb mkubwa unaenda usiofu anza kujifua na matweet nini kama kawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…