Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Kwa heshima Nawaamkia;

Huyu ni binti amehitimu form 4...
Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo;

Kiswahili C
Kiingereza C
Uraia C
History D
Biology C
Chemistry F
Maths F
Fasihi D
Geography D

Karibuni kwa ushauri
 
Kwa heshima Nawaamkia;

Huyu ni binti amehitimu form 4...
Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo;

Kiswahili C
Kiingereza C
Uraia C
History D
Biology C
Chemistry F
Maths F
Fasihi D
Geography D

Karibuni kwa ushauri
Mfanyie Application CHUO Cha Bandari au NIT akaosomee kozi za udali. Kama ni mchangamfu hatajuta kusoma udalali (Clearance and Forwarding)
 
Back
Top Bottom