Poker face
Member
- Mar 12, 2013
- 47
- 0
wana jf katika matokeo yangu nimepata physics-S,chem-D,Bios-D ,Bam-S, Gs-F. Je naweza soma medicine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana jf katika matokeo yangu nimepata physics-S,chem-D,Bios-D ,Bam-S, Gs-F. Je naweza soma medicine?
nenda Imtu
kajaribu kairuki na imtu waweza ukapata
Ila usitegemee standardization huko, labda supp au disco jitahidi.
Kapge env health,medicine haina issue nw.
una Admission points za 2.5 wakati vyuo vya medicine majority vinaanzia admission points zaidi ya 3.5. Hata hiyo IMTU chini kabisa ni 3.5
acha ujinga wee hebu jiulize md ni kitu gani ,yaaani unataka kozi ya 3-4 yrs mtu akushushie hapa ni kitu gani??Hiyo env healh ndo kitu gan ?
kwan Udom nayo admission point zinakuwaje?
una Admission points za 2.5 wakati vyuo vya medicine majority vinaanzia admission points zaidi ya 3.5. Hata hiyo IMTU chini kabisa ni 3.5
hujui kuhesabu pointi wewe!
A-5
B-4
C-3
D-2
E-1
S-0.5
hvyo huyo ana (D-2,D-2 na S-0.5 =4.5pts.)
Kwa imtu& hubert kairuki unapata kabsa,coz cut-off point zao ni 4.5pts. Kwa M.D