mi nilipata C biology, C physics, D chemistry mwaka 2001. Muhimbili wakaniacha Medicine. kwa hasira sijaenda huko ila mpaka leo inaniuma sana kwani haya masomo yalikua yanatoka moyoni mwangu wala sikua motivated na pesa. niliamua kuachana kabisa na fani za afya na kwenda kwingine kabisa