Kwa matokeo haya naweza soma medicine

Poker face

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
47
Reaction score
0
wana jf katika matokeo yangu nimepata physics-S,chem-D,Bios-D ,Bam-S, Gs-F. Je naweza soma medicine?
 
Kwa diploma ni sawa hyo f ya gs weka mbali na watoto
 
Ila usitegemee standardization huko, labda supp au disco jitahidi.
 
una Admission points za 2.5 wakati vyuo vya medicine majority vinaanzia admission points zaidi ya 3.5. Hata hiyo IMTU chini kabisa ni 3.5
 
una Admission points za 2.5 wakati vyuo vya medicine majority vinaanzia admission points zaidi ya 3.5. Hata hiyo IMTU chini kabisa ni 3.5

kwan Udom nayo admission point zinakuwaje?
 
Env health ni Environmental Health. A=5, B=4, C=3,D=2,E=1, S=0.5. F=0. Hivyo D ni Principal Pass yenye points 2 ambapo kwa hapo utakua na points 4 maana wengi wanahesabu principal pass 2.

Nakushauri sana ndugu yangu kama unapenda MD uingie central application system na kila utakapo jaza automatically itakuambia utfit inn ama laa. Otherwise opt for a Diploma in Clinical Health.

Kila la kheri
 
kwan Udom nayo admission point zinakuwaje?

HIYO NDO UDOM KWA DR OF MEDICINE: Three principal passes in Physics, Chemistry and Biology/ Zoology (Grade D or better) at A' level or a minimum of 5 grade points.
 
una Admission points za 2.5 wakati vyuo vya medicine majority vinaanzia admission points zaidi ya 3.5. Hata hiyo IMTU chini kabisa ni 3.5

hujui kuhesabu pointi wewe!
A-5
B-4
C-3
D-2
E-1
S-0.5
hvyo huyo ana (D-2,D-2 na S-0.5 =4.5pts.)
Kwa imtu& hubert kairuki unapata kabsa,coz cut-off point zao ni 4.5pts. Kwa M.D
 
hujui kuhesabu pointi wewe!
A-5
B-4
C-3
D-2
E-1
S-0.5
hvyo huyo ana (D-2,D-2 na S-0.5 =4.5pts.)
Kwa imtu& hubert kairuki unapata kabsa,coz cut-off point zao ni 4.5pts. Kwa M.D

I concur!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…