Kwa Matokeo Haya Nitachaguliwa Shule Ya Serikali?

Kwa Matokeo Haya Nitachaguliwa Shule Ya Serikali?

Habari Zenu Wana JF
Nimehitm Kidato Cha 4 Mwaka Jana Na Matokeo Yangu Ni;
BIOS:C
GEOG:B
ENGL:B
HIST:B
KISW:C
CHEM😀
B/MATH😀
CIVC😀
Nina credt ya 2.1 je nitapata nafasi shule ya selikali? Na naweza chaguliwa comb gan?

Naombeni ushaur wenu

Ww umeshachaguliwa,subiri tu kutangaziwa pa kwenda.Ondoa shaka.
 
F 2.0 CREDIT
CIV - 'E'
HIST - 'D'
GEO - 'D'
KISW - 'B'
ENGL - 'B'
LIT ENG -
'C' BIO -
'C' B/
MATH -
'C'
Mwanangu huyo kama hatachaguliwa nataka nimpeleke shule ya private huko Moshi kwa combi ya HGE je atakubaliwa?
 
Back
Top Bottom