Habari Zenu Wana JF
Nimehitm Kidato Cha 4 Mwaka Jana Na Matokeo Yangu Ni;
BIOS:C
GEOG:B
ENGL:B
HIST:B
KISW:C
CHEMπ
B/MATHπ
CIVCπ
Nina credt ya 2.1 je nitapata nafasi shule ya selikali? Na naweza chaguliwa comb gan?
F 2.0 CREDIT
CIV - 'E'
HIST - 'D'
GEO - 'D'
KISW - 'B'
ENGL - 'B'
LIT ENG -
'C' BIO -
'C' B/
MATH -
'C'
Mwanangu huyo kama hatachaguliwa nataka nimpeleke shule ya private huko Moshi kwa combi ya HGE je atakubaliwa?