Kwa matokeo haya nitafanikiwa kwenda Advance?

Kwa matokeo haya nitafanikiwa kwenda Advance?

Hata mim binafs sioni umuhimu wa kwenda A level, ila kelele nying huku mtaani et uspoenda A unaomekana kilaza[emoji3526][emoji3526]
Sasa unakubali kuendeshwa na maneno ya watu haliyakuwa maisha ni yako? Jitafakari
 
Mkuu ulifanikiwa kwenda Mbona matokeo yako vizuri kabisa na una vigezo vyote pia comb imebalance
 
Back
Top Bottom