sarcomere1 JF-Expert Member Joined Dec 11, 2018 Posts 304 Reaction score 579 Feb 22, 2024 #21 Fj4family said: Hata mim binafs sioni umuhimu wa kwenda A level, ila kelele nying huku mtaani et uspoenda A unaomekana kilaza[emoji3526][emoji3526] Click to expand... Sasa unakubali kuendeshwa na maneno ya watu haliyakuwa maisha ni yako? Jitafakari
Fj4family said: Hata mim binafs sioni umuhimu wa kwenda A level, ila kelele nying huku mtaani et uspoenda A unaomekana kilaza[emoji3526][emoji3526] Click to expand... Sasa unakubali kuendeshwa na maneno ya watu haliyakuwa maisha ni yako? Jitafakari
Charlez kanumba Senior Member Joined Nov 2, 2024 Posts 187 Reaction score 501 Nov 12, 2024 #22 Mkuu ulifanikiwa kwenda Mbona matokeo yako vizuri kabisa na una vigezo vyote pia comb imebalance
M Mwafrikamtanzania JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 387 Reaction score 421 Nov 22, 2024 #23 KIBUGAmk said: Hapana mkuu siwez kwenda VETA na nimefaulu labda ningekuw na division iv Click to expand... Vijana VETA mnaidharau sana wakati watu imewapa maisha. VETA si kwa waliofeli, pale unapata ufundi Stadi saaafi
KIBUGAmk said: Hapana mkuu siwez kwenda VETA na nimefaulu labda ningekuw na division iv Click to expand... Vijana VETA mnaidharau sana wakati watu imewapa maisha. VETA si kwa waliofeli, pale unapata ufundi Stadi saaafi