Tena muanze leo, ili mpate mtawala wa mileleKwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.
Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
ccm na upinzani wote hawataishi milele.hakuna jambo la milele. ATAKUFA siku moja.
Kwasasa ni dhahiri CCM imedhamiria kushinda majimbo yote ya uchaguzi Tanzania Bara uwe ushindi halali au haramu. Hii ina maana kuwa lolote atakalotaka rais Magufuli pamoja na serikali yake halitapata mkwamo wa namna yoyote ile bungeni.
Tujiandae kwa mabadiliko ya Katiba kumuwezeha Magufuli kutawala kwa awamu nyingi zaidi.
If there are Elijah in this country who can pray and make that possible the afterward drama would be the best to experience otherwise Tanzania is yet to see whatever.hakuna jambo la milele. ATAKUFA siku moja.
Huo ndio utakuwa milele yake.hakuna jambo la milele. ATAKUFA siku moja.